peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nimesema tu, wenye mabasi waendelee kuchangia
Vinginevyo abiria wanao safari usiku wawe na Bima kubwa
Vinginevyo abiria wanao safari usiku wawe na Bima kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge kote huko hiyo ni ishu ya latra sio kupanga nauli tu wapuuzi waleNimesema tu, wenye mabasi waendelee kuchangia
Vinginevyo abiria wanao safari usiku wawe na Bima kubwa
Tatizo hamna maegesho mzee ukifika usiku wataegesha pembezoni ambapo bado ni njiani wanalalaMalori yasafiri usiku na mabasi yasafiri Mchana
Ajali zipo muda wowote, yule mama aliyekatika mkono alikuwa akiendesha basi mchana jua linawaka, wale polisi maharusi walipata ajali Iringa huku jua likiwa linawaka na ajali nyingi za malori zinazotokea Mbeya hutokea huku jua likiwaka.Nimesema tu, wenye mabasi waendelee kuchangia
Vinginevyo abiria wanao safari usiku wawe na Bima kubwa
Si ndio nyie mlishangilia wakati mama yenu kupitia kinana anapunguza matrafic barabarani, mkisema anafuta legacy?
Umenena vyema mkuu. Kama hakuna barabara bora hizo ajali haziwezi kukoma haiwezekani barabara ndogo kiasi hicho iudumie nchi zote za majirani na ujumlishe na population yetu sisi Watz halafu ufikirie kuwa ajali zitaisha. Tutabaki kuongoza vibao vya 50 visivyo na tija na kuongeza ulaji kwa matrafikiPamoja na uzembe wa madereve lakini barabara zetu zinachangia, ni mbovu, nyembamba - hadi hapo tutakapokuwa na uwezo wa kuweka double road ndipo tutapona na hizi ajali
Tatizo ni askari wa usalama barabarani, wao kutwa kucha ni kuchukua hela kwa madereva, swala la usalama halina msimamizi tenaNimesema tu, wenye mabasi waendelee kuchangia
Vinginevyo abiria wanao safari usiku wawe na Bima kubwa
Kabisa kabisa !! Ndio maana mimi huwa nawaitaga madereva wa kisasa !!Asilimia 90 za ajali ni uzembe madereva iwe usiku iwe mchana