The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi.
Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano.
Je nini kifanyike kuwarejesha wahusika kwenye mstari? Ni kama wananchi wamebakia yatima tena wanaokabiliwa na genge la ulaji na ujambazi.
Tusaidiane wanangu lau tujikomboe na balaa hili.