Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Ni mjinga na mpumbavu ndio anayeamini kunywa pombe ni ulevi!Kkkkk, kumbe nadeal na mlevi!!!! Wooooi😳😳😳😳😳😳
Ni mjinga na mpumbavu ndio anayeamini kunywa pombe ni ulevi!Kkkkk, kumbe nadeal na mlevi!!!! Wooooi😳😳😳😳😳😳
Moderators wanazoom nyuzi za kumsagia kunguni mama chap wanazidaka lakini za chawa hata kuunganishwa tu haziunganishwi ili ziwe nyingi japo content ni mojaDu! Nilisahau hata jeshi pia mbali na mapolisi na wezii wengine wa kimfumo. Wasomi ndo usiseme. Wengi wamegeuka machawa wakisaka kujaza mitumbo na kusahau vichwa vyao. Wanafikiri kwa utumbo wakiongopa kuumiza ubongo kiasi cha kukosa maana au tofauti kati ya kusoma na kutosoma.
Hata mimi hili huniudhi na kunishanga kiasi cha kudhani kuwa tumevamiwa na chawa bila kujua.Moderators wanazoom nyuzi za kumsagia kunguni mama chap wanazidaka lakini za chawa hata kuunganishwa tu haziunganishwi ili ziwe nyingi japo content ni moja
Ni kweli. Ni mwehu pekee aaminiye pombe na kuisifia. Mbona ukienda chooni hutangazi? Inashangaza na kusikitisha japo inaelimishaNi mjinga na mpumbavu ndio anayeamini kunywa pombe ni ulevi!
Nakunywa Konyagi na bado nina uwezo wa kujenga hoja ambazo wewe usiye kunywa HUWEZI kuzijibu. Unabaki na fallacies tu!Ni kweli. Ni mwehu pekee aaminiye pombe na kuisifia. Mbona ukienda chooni hutangazi? Inashangaza na kusikitisha japo inaelimisha