The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Wanasema.."Ukiona giza linazidi ujue kunakaribia kukucha"Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi.
Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano.
Je nini kifanyike kuwarejesha wahusika kwenye mstari? Ni kama wananchi wamebakia yatima tena wanaokabiliwa na genge la ulaji na ujambazi.
Tusaidiane wanangu lau tujikomboe na balaa hili.
Watanzania tupo kwenye mstari. Kama Mama anaupiga mwingine, kwanini tusimsifie? Au unataka asifiwe Lissu tu? Kwa lipi la maana Lissu kawafanyia Watanzania? PUMBAVU!!!Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi.
Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano.
Je nini kifanyike kuwarejesha wahusika kwenye mstari? Ni kama wananchi wamebakia yatima tena wanaokabiliwa na genge la ulaji na ujambazi.
Tusaidiane wanangu lau tujikomboe na balaa hili.
Sina cha kusema. Sina jibu kwa uzwaazwaa na uchawaaa huu. Basi, endelea kusifia hata kama unalala njaa au kwa vile unashiba kwa kuwahujumu wengine.Watanzania tupo kwenye mstari. Kama Mama anaupiga mwingine, kwanini tusimsifie? Au unataka asifiwe Lissu tu? Kwa lipi la maana Lissu kawafanyia Watanzania? PUMBAVU!!!
Wewe ndio zwazwa iliyezalowa na wazazi mazwazwa ndio maana hayajulikani. Na kwa taarifa yako kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na kumpenda amtakaye. Hakuna mbwa yoyote itakayotufanya tufikiri inavyotaka yenyewe!!!Sina cha kusema. Sina jibu kwa uzwaazwaa na uchawaaa huu. Basi, endelea kusifia hata kama unalala njaa au kwa vile unashiba kwa kuwahujumu wengine.
Ukisha weka matusi na kejeli fahamu kuwa, hakuna hoja za kuutetea ukweli unaouamini.Wewe ndio zwazwa iliyezalowa na wazazi mazwazwa ndio maana hayajulikani. Na kwa taarifa yako kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na kumpenda amtakaye. Hakuna mbwa yoyote itakayotufanya tufikiri inavyotaka yenyewe!!!
Kwahiyo wengine ndio wanaruhisiwa kutukana wengine,ila wengine tukae kimya sio? Mshenzi wewe!!Ukisha weka matusi na kejeli fahamu kuwa, hakuna hoja za kuutetea ukweli unaouamini.
Tukana uwezavyo, lakini hayana madhara yoyote.Kwahiyo wengine ndio wanaruhisiwa kutukana wengine,ila wengine tukae kimya sio? Mshenzi wewe!!
Sera yangu humu JF ni "An eye for an eye"! Ukinitukana, nakutukana. Ukitukana mtu mwingine, nakutukana kwa niaba yake. Sijali kupigwa ban na ndio maana nshakula ban nyingi tu.Tukana uwezavyo, lakini hayana madhara yoyote.
Hayana madhara kwa anayetukanwa, lakini yanamtambulisha anayetukana kuwa ni kiumbe wa aina gani.
Nasubiri tusi.....
Haya zwaazwaa, kwani mie si mtu, hivyo visitor maoni siyo? Zoooba kweli kweli nyamaaafff kabisa na ulaaaaanive veve nguruveeeWewe ndio zwazwa iliyezalowa na wazazi mazwazwa ndio maana hayajulikani. Na kwa taarifa yako kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na kumpenda amtakaye. Hakuna mbwa yoyote itakayotufanya tufikiri inavyotaka yenyewe!!!
Umemaliza? Nenda kapele ulale basiSera yangu humu JF ni "An eye for an eye"! Ukinitukana, nakutukana. Ukitukana mtu mwingine, nakutukana kwa niaba yake. Sijali kupigwa ban na ndio maana nshakula ban nyingi tu.
Mpaka nimalize Konyagi yangu ndio nalala. Mi mwanaume LAZIMA ninywe Konyagi jioni na sio chai tangawizi!Umemaliza? Nenda kapele ulale basi
Kkkkk, kumbe nadeal na mlevi!!!! Wooooi😳😳😳😳😳😳Mpaka nimalize Konyagi yangu ndio nalala. Mi mwanaume LAZIMA ninywe Konyagi jioni na sio chai tangawizi!
Kwa taarifa yako hao watu hawajaungana. Kuna kundi kubwa la watu wenye mawazo tofauti wananyamazishwa kwa lazima wasitoe maoni yao.
Huoni makundi mbalimbali ya watu tofauti tofauti wakiwemo viongozi wa dini, wanaharakati, wanasiasa baadhi hata wananchi wa kawaida wakikemea masuala ya utekaji, unyanyasaji,rushwa, wizi wa kura, uporaji wa madaraka, mauaji nk!. Sema wananyamazishwa wasitoe maoni.
OGOPA watu tofauti tofauti wakiwa wanalalamikia jambo moja mwisho wake hua sio mzuri maana sauti ya watu ni sauti ya MUNGU.
Hata Farao pamoja na kuoneshwa ishara nyingi na kupigwa mapigo mengi hakuwaachilia waisraeli waende zao. Lakini kuna pigo moja tu, pigo
Umenena vyema,
NO REFORMS NO ELECTIONSiku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi.
Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano.
Je nini kifanyike kuwarejesha wahusika kwenye mstari? Ni kama wananchi wamebakia yatima tena wanaokabiliwa na genge la ulaji na ujambazi.
Tusaidiane wanangu lau tujikomboe na balaa hili.
Wameungana kwenye uovu na kujitenga na wema.Tatizo sio kuungana, wameungana kwenye nini?
Jumlisha na vyombo vya habariSiku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi.
Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano.
Je nini kifanyike kuwarejesha wahusika kwenye mstari? Ni kama wananchi wamebakia yatima tena wanaokabiliwa na genge la ulaji na ujambazi.
Tusaidiane wanangu lau tujikomboe na balaa hili.
Du! Nilisahau hata jeshi pia mbali na mapolisi na wezii wengine wa kimfumo. Wasomi ndo usiseme. Wengi wamegeuka machawa wakisaka kujaza mitumbo na kusahau vichwa vyao. Wanafikiri kwa utumbo wakiongopa kuumiza ubongo kiasi cha kukosa maana au tofauti kati ya kusoma na kutosoma.Jumlisha na vyombo vya habari