Bunge, Mahakama, utawala, dini, na wenye fedha wanapoungana jua tumekwisha

Moderators wanazoom nyuzi za kumsagia kunguni mama chap wanazidaka lakini za chawa hata kuunganishwa tu haziunganishwi ili ziwe nyingi japo content ni moja
 
Moderators wanazoom nyuzi za kumsagia kunguni mama chap wanazidaka lakini za chawa hata kuunganishwa tu haziunganishwi ili ziwe nyingi japo content ni moja
Hata mimi hili huniudhi na kunishanga kiasi cha kudhani kuwa tumevamiwa na chawa bila kujua.
 
Ni kweli. Ni mwehu pekee aaminiye pombe na kuisifia. Mbona ukienda chooni hutangazi? Inashangaza na kusikitisha japo inaelimisha
Nakunywa Konyagi na bado nina uwezo wa kujenga hoja ambazo wewe usiye kunywa HUWEZI kuzijibu. Unabaki na fallacies tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…