Bunge na ubinafsishaji wa Bandari ya Dar es Salaam, huu ni ufisadi mkubwa

Gas ya Mtwara iko wapi?
 
Kwani watanzania hatuwezi kuendesha taasisi zetu hadi tumpe mwarabu, baada ya hapo tumpe na shirika la ndege halafu sisi tukae kijiweni kunywa gahawa na kashata, siyo?
Tunaweza tena juu na zaidi. Lakini itakua kazi ngumu, hasa mwanzoni.

Kwa nini haifanyiki? - Kufanya wenyewe kwa manufaa ya Taifa sio Nia ya Watawala.

  • Hawapendi kazi ngumu/zenye kutumia akili sana.
  • Watawala na makundi yao hunufaika sana ni hii Mikataba.
 
Ile ya bagamoyo itajengwa au ndio itasimama.
Kama vipi ni bora apewe fukwe ya bagamoyo ajenge upya.
 
Kwa nini wafanyakazi wa bandari wamechanganyikiwa sana bandari kubinafsishwa? Kwani mlikuwa manaiba sana?
 
Acha kupotosha acha kutukana watanzania hatakama sio mtanzania,mizigo yote ikifika badandari TRA ndio wakwanza kukusanya pesa zao Kisha wanawachia TPA nao wanakusanya pesa zao ukishindwa kulipa kodi au kalipa pesa ya TRA ukashindwa kulipa storge mzigo wako unanadishwq na pesa inangia kwenye account ya TPA sasa watanzania wameiba nini ebutu tueleweshe watanzania wanaibiaje bandari?
 
Tanzania ya ulalamishi 🤣🤣

Ni aibu kubwa ,Libandari halina Ufanisi over years watu wanatumia kama Chimbo ila still.kuna watu wanaona inafaa kubakia hivihibi..

Hapa Kuna mawili aidha wanaonufaika wanatunga porojo za kisengerema Ili waendee kuchuma na pili Kuna wale wanaopinga hata hawaelewi wanaopinga nini hasa..

Serikali hakuna kurudi nyuma,Kuna miradi Mingi ya Umma imegeuzwa machimbo ya kunufaika watu wachache ,Bora twende Kwa staili hii hii.
 
Naona Tanzania imevamiwa na Wazanzibar,yule mwehu alisema mtanikumbuka.
 
Naona Tanzania imevamiwa na Wazanzibar,yule mwehu alisema mtanikumbuka.
Wewe ndio kamkumbuke mm sijawahi na haitokuja kutokea..

Bora Wazanzibar wavamie tuu kuliko nyie wapuuzi wachache mnaonufaika na Bandari yaani ni kama.mali ya urithi Kila mtu achukie chake
 
Hayo mashirika sahz yapo chini yetu Nini kinaendelea....Yale matangazo ya posta na simu yalipotea baada ya kutoka muwekazaji
Hayo yalirudi serikalini baada ya kufilisika na mwekezaji kuondoka. Hapo unapoona yanachechemea ni bora kuliko yalivyokua chini ya hao wawekezaji, sijui kama unakumbuka vizuri kilichoikumba trc, au atcl, au hata tanesco

Ttcl unasema ilikuaje? Sijakuelewa
 
Huu mkataba utakuja vunjwa huko mbeleni na mmojwapo wa watawala.
Wao wenyewe sio wajinga ndio maana unaona miaka ni mingi. Aje avunje alafu alipe trillions? Symbion tu kampuni ya kitapeli lakini shughuli uliiona na serikali ikalipa billion of money
 
Sasa ndo ipo hivyo kwenye huo mkataba wanao taka kusaini
Mimi sina shida kama mkataba utapitia Bungeni.
Mimi nilikuwa na shida na mikataba yote iliyokuwa haipitii Bungeni, especially wakati wa awamu ya tatu; awamu ambayo ndiyo hasa iliasisi ubinafsishaji
 
Huyu Bibi alivyoanzaga safari zake za mara kwa mara kwenda kwa Wajomba zake Uarabuni,nikajua lazima tutakuja kupigwa na kitu Kizito kichwani.
Kuna kipindi niliona kawekwa picha yake kwenye lile jengo refu pale Dubai,nikajua hapa tayari tushauzwa!
 
"Bunge kuwa reduced to that level of a government department"

Ukweli ni kwamba, bunge letu hata sio kama department ya serikali, bunge letu ni chawa wa serikali, wanasesere, house boys and girls wa serikali.
Kwanza inakuaje Spika wa Bunge anakuwa Mjumbe wa kamati kuu ya CCM.Kwaiyo na yeye anapewa maagizo na Mwenyekiti wa CCM?
Lakini kitu kingine kinacho nishangaza, kwanini Katibu wa Bunge anateuliwa na Rais ambaye ni Mkuu wa Muhimili ambao unapaswa kusumamiwa na Bunge?
Hivi ni nini Mantiki ya kuwa na mfuko wa Jimbo ilihali tayari serikali imetenga bajeti ya kuendesha TAMISEMI na Halmashauri na Mikoa yote?
 
Unalinganisha nchi ya wanaojielewa na Tanzania huku ambako wizo na ufisadi ukitokea adhavu yake ni kuitwa stupid? US wanafanya hayo kwa kuwa wapo vizuri kila eneo na sheria zao ni ngumu kwa mtu kuhujumu au kuiba
Huwezi ukabakia na akili ile ile ya kulalama ukitegemea maendeleo ya aina yoyote. SSH amejaribu menejimenti mbili ndani ya miaka yake miwili ya urais, hajaona kipya chochote.

Ameona ni muda wa kuchukua risk kubwa kama kweli tunataka kufaidika na bandari yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…