Bunge na ubinafsishaji wa Bandari ya Dar es Salaam, huu ni ufisadi mkubwa

Watanzania kamwe hawaimariki
 
Hii mkuu usimamizi na uthibiti wa Taifa La Marekani unaujuaa??
Tanzania Ina kipi Cha kujilinganisha na Taifa kubwa kama la Marekani wale jamaa hatu waliopiga siyo wa kujilinganisha nao,
Kingine unajua mikataba ya USA na hayo Makumpuni makubaliano yao ni yapi?
Ndo maan huwa nakubali wa Africa sisi wenyew ndo wachawi wa maendeleo kwa sababu ya tamaa zetu tu Leo mwarabu hata akiwekeza hapo akataoa Hela za maana au faida kubwa watakao nufaika ni hao hao waliopo serikarin kwa sababu faida ambayo itakua inazalishwa watakuwa wanakula wao kwa wao na kugawana pasipo kujali wananchi wa kipato Cha so ni it's better waiache bandari hata kma Kuna wezi humo lakini ipo siku vizazi vyetu vitakuja vitaisimamia na wez watakomeshwa kuliko kuiza Alfu tukaja tukarudi utumwani.

Hata Nyerere Kipindi tumepata uhuru wazungu walitaka kuchukua mali waondoke nazo lakin Nyerere aliwambia waziache mpka siku watanganyika watakapo PATA Elimu ya kuvitumia watafaidka so Kwann sisi tusivitunze kwa ajili ya kesho Leo unamkabidhi mwarabu bandari, umekabidhi madini kwa wazungu, umekabidhi mbuga kwa wazungu, kwa maana Halisi tunajitengenezea Hali ya Kuja Kuwa wakimbizia au watumwa hata kama siyo Leo lakin vizaz vyetu vitakuja huko mfano mzuri angalia Congo DRC.
 
Swala sio kuchukua mali zetu swala ni uzembe wetu sisi wenyewe, suala ni incompetence yetu wenyewe.

Hakuna mwenye nia ya kuchukua utajiri wako, cha muhimu ni huo utajiri unakufaidisha vipi wewe na wote wanaokuhusu.
 
Swala sio kuchukua mali zetu swala ni uzembe wetu sisi wenyewe, suala ni incompetence yetu wenyewe.

Hakuna mwenye nia ya kuchukua utajiri wako, cha muhimu ni huo utajiri unakufaidisha vipi wewe na wote wanaokuhusu.
Na ndo maana tunapiga kelele Kuwa hatutaki wachukue mali zetu hao wanaitaka kuziuza mali zetu tunawapinga kwa umoja tunaweza kulinda mali zetu na siyo kuunga mkono huo uporaji
 
Yani watanzania sijui tunashida gani kwenye bongo zetu yani mtu msomi kabisa unatoka na kulishauri bunge,hivi hawa wabunge wa ccm wanaweza kugomea alichopitisha mwenyekiti wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…