Bunge tukufu

Bunge tukufu

laiti ungejua!! Khaaaa kumbe ndo maana hujielew, kumbe naongea na mfu!! Pole sana, darasa lako ulilokimbia huwezi linganisha na langu, ndo maana nakushinda kwenye hoja, unatapatapa kama mfa maji mpaka unaanza kuingiza mambo mara ya mpira, mara form ngapi, mara huku katiba, be in the right track, acha kutapatapa leo nakupa dozi mpaka uchanganyikiwe utembee uchi.

Weka hapa no za vyeti vyako mf S. 0777/ .... watu wagoogle.
Napenda kuchat na si uhasama. Daahh std 7 wana visa!! Ebu tupia ngeli kidogo?
 
weka hapa no za vyeti vyako mf s. 0777/ .... Watu wagoogle.
Napenda kuchat na si uhasama. Daahh std 7 wana visa!! Ebu tupia ngeli kidogo?

we kweli hamnazo kweli!! Khaaa, umehamisha topic sasa unaenda kwenye vyeti, ama kweli maneno yangu yamekuchanganya kweli, we mburura elimu yako yenyewe ya kuunga unga, sibishani na mazombie wasioelewa kama wewe, jipange uje na hoja zenye maana wewe kidudu mtu.
 
Nihusisha kwasababu unavyo viandika havina ushirikiano na kichwa. plz plz weka hapa
 
we kweli hamnazo kweli!! Khaaa, umehamisha topic sasa unaenda kwenye vyeti, ama kweli maneno yangu yamekuchanganya kweli, we mburura elimu yako yenyewe ya kuunga unga, sibishani na mazombie wasioelewa kama wewe, jipange uje na hoja zenye maana wewe kidudu mtu.

Ha ha ha nawa enjoy!! Daah CCM wamekata umeme , sorry TANESCO
 
kama havina ushirikiano weka vyako wewe tujue kwanza, maana mambo ya vyeti sio mada kuu iliyowekwa hapo awali, utumie akili we zombie!! Au umetumwa eenh!!??
Nimependa kulibgana na mfululuzo wa vituko unavyo viandika. Weka kimoja nami kimoja, then next hadi mwisho wa elimu yako ya ukoo
 
nimependa kulibgana na mfululuzo wa vituko unavyo viandika. Weka kimoja nami kimoja, then next hadi mwisho wa elimu yako ya ukoo

we sio binadamu bali ni zombie lisilotaka kuelewa, we mwenyewe ndo unahamishahamisha mada then unasema weka mada moja moja, mada ni katiba inayopendekezwa humu ndani, we umatokea wapi mpaka hujui unakokwenda unahangaika tu? Kojoa ulale ili ukue kisha ndo uje na hoja zenye maana humu jf.
 
mbona una paniki mkuu?

Tunachati ndg sio ugomvi. Afu ww muda c mrefu utakuwa frnd wangu mzr

cwez kupanick kwa mtu asiyejitambua kama wewe, na cwez kuwa na rafiki mnafiki acyependa maendeleo katika nchi yake wala acyekuwa mzalendo na nchi yake kama wewe, nakujibu hivi coz mada unazoendelea kuzileta hazihusiani kabisa na mada kuu hapo juu, ntaendelea kukujibu kunya mpaka hapo utakaporudi kwenye right track.
 
we sio binadamu bali ni zombie lisilotaka kuelewa, we mwenyewe ndo unahamishahamisha mada then unasema weka mada moja moja, mada ni katiba inayopendekezwa humu ndani, we umatokea wapi mpaka hujui unakokwenda unahangaika tu? Kojoa ulale ili ukue kisha ndo uje na hoja zenye maana humu jf.

Daah unakwepa kilaza ww
 
cwez kupanick kwa mtu asiyejitambua kama wewe, na cwez kuwa na rafiki mnafiki acyependa maendeleo katika nchi yake wala acyekuwa mzalendo na nchi yake kama wewe, nakujibu hivi coz mada unazoendelea kuzileta hazihusiani kabisa na mada kuu hapo juu, ntaendelea kukujibu kunya mpaka hapo utakaporudi kwenye right track.

Angalia Reg No 2011-M101-10003. Hiki ni kimoja tu kati ya vingi. Sina uhakika kama utaelewa level, make shulu ni zero!

Haya weka kimoja wadau wagoogle
 
angalia reg no 2011-m101-10003. Hiki ni kimoja tu kati ya vingi. Sina uhakika kama utaelewa level, make shulu ni zero!

Haya weka kimoja wadau wagoogle

ckushangai kwa utaalamu wa kucopy na kupaste matokeo ya wengine, wala sihitaji uchafu wako hapa, ningehitaji ningekuomba, weka hoja usiweke vyeti humu, ungekuwa umesoma sana ungekuwa muelewa na kusoma sana sio kuelimika, we namashaka na elimu yako hiyo, hujui kitu.
 
Weka Reg yako hapa mbona bhla bhla nyingi sasa!!
 
umeshinda mkuu. Naona issue ya shule imekuwa mwiba!!

wasomi huwa hatujisifu, wanaojisifu ni wale waliopata division 5 kama wewe. Pole sana umeenda google ukacopy umekuja kupaste results za mtu mwingine ambaye sio mtanzania afu unajifanya matokeo yako, unadhani cjui?? We una mambo ya kitoto sana dahhhhhh kasome ngumbaro kama madarasa yalikupita.
 
wasomi huwa hatujisifu, wanaojisifu ni wale waliopata division 5 kama wewe. Pole sana umeenda google ukacopy umekuja kupaste results za matokeo ya mtu mwingine ambaye sio mtanzania afu unajifanya matokeo yako, unadhani cjui?? We una mambo ya kitoto sana dahhhhhh kasome ngumbaro kama madarasa yalikupita.

Nilijua tu shule ni zero!! Hata kwa kuangalia tu Reg umeshindwa kujua level!!
Hopeless
 
Back
Top Bottom