Bunge tukufu

Bunge tukufu

unadhani nlikuwa cjui ulichokifanya hapo, reg za tz haziko hivo, we umeenda google ukacopy ukaja kupaste huku, nyambafu weee.

Weka yako moja tu mkuu ubishi wa nn? Hiyo niyangu kweli nilisoma nje. Kama ukienda google ukaipata c yangu nisute cku yyote.

Haya twende kazi, zamu yako sasa
 
nilijua tu shule ni zero!! Hata kwa kuangalia tu reg umeshindwa kujua level!!
Hopeless

kama umeishiwa hoja kubali ukweli kuwa umechemsha kujibu hoja zangu, subiri ugali hapo shemeji yako akupikie uingie tena jf ukiwa na nguvu na hoja zenye maana na zenye kuihusu katiba na sio mashindano ya kipuuzi.
 
Weka yako moja tu mkuu ubishi wa nn? Hiyo niyangu kweli nilisoma nje. Kama ukienda google ukaipata c yangu nisute cku yyote.

Haya twende kazi, zamu yako sasa

kama umeishiwa hoja kubali ukweli kuwa umechemsha kujibu hoja zangu, subiri ugali hapo shemeji yako akupikie ule uingie tena jf ukiwa na nguvu na hoja zenye maana na zenye kuihusu katiba na sio mashindano ya kipuuzi.
 
weka hoja za katiba, hatuko kwenye mashindano ya vyeti hapa umeishiwa hOja ndo mana unakazia mambo ya vyeti, kumbe we boya sana, khaaaa

Katiba wala Siasa wala nani sio hoja kila cku!!

mfano, Hivi unafahamu exchange rate ya dollar vs Tshs ni ngapi kwa sasa?
 
weka yako moja tu mkuu ubishi wa nn? Hiyo niyangu kweli nilisoma nje. Kama ukienda google ukaipata c yangu nisute cku yyote.

Haya twende kazi, zamu yako sasa

wabongo mkipewa nafasi mjitetee kuhusu elimu zenu mnakimbiulia mie nimesoma nje masters na degree, kwani alokwambia kusoma nje ndo kuwa na akili nani? We mjinga wa akili kumbe, dah yani we kusoma nje ndo umeona dili? Nkuulize ulikosoma huko umenufaika na nini tangu urudi mbona uko kama yahaya, ueleweki na hata kazi zako hazijulikani? Hahahaha yahaya huyoooo!!
 
kama umeishiwa hoja kubali ukweli kuwa umechemsha kujibu hoja zangu, subiri ugali hapo shemeji yako akupikie ule uingie tena jf ukiwa na nguvu na hoja zenye maana na zenye kuihusu katiba na sio mashindano ya kipuuzi.

Ha ha ha m2 nduki!!!!
 
katiba wala siasa wala nani sio hoja kila cku!!

Mfano, hivi unafahamu exchange rate ya dollar vs tshs ni ngapi kwa sasa?

yani wewe ni limbukeni sana na mambo ya nje, unatamani sana uishi au atleast uwe umewahi kwenda huko nje lakini kwa muonekano wako tu unaonekana hujawahi kwenda hata hapo zambia, uganda, kenya sembuse kwenda ulaya au asia? Khaaa umehamisha mada tena toka katiba hadi exchange rate ya dollar, sasa mimi inisaidie nini hiyo rate? Unakuwa kama sio lafa!!
 
ha ha ha m2 nduki!!!!

kumbe wewe ndo yule yahaya ambaye jide anamzungumzia kila cku!! Khaaa eti nimesoma nje, nje utasoma wewe? Ndege yenyewe unaiona angani tu hata kuikaribia hujawahi? Hahahaha pole sana utaendelea kuota ndoto unasoma nje mpaka kufa kwako na hutoenda ng'ooooo!!
 
Mada ya vyeti imeisha au?
 
ngoja mm nikukimbie mkuu. Bona petite'

sahivi unajifanya kuweka maneno ya kifaransa ili tujue kama kweli umesoma nje, hahahaha yahaya wewe huna seraaaaaaa huyoooooo kimbia tu hiki chuma cha pua bhana kajipange tena ili uje na shemeji yako huyo. Yahaya wewe!!
 
mada ya vyeti imeisha au?

yahaya kubali ukweli, mada hapa co vyeti, ni katiba, uliza mambo yanayohusu katiba inayopendekezwa acha kupindisha maneno ndo maana nimekupa jina la yahaya coz hueleweki kila kitu wewe, umeanzia mbali kweli ukabadilisha mada karibu kumi sasa lakini umeshindwa kuzitetea hizo hoja, sahivi unarudi tena kwenye vyeti hahahha jipange tena we yahaya.
 
sahivi unajifanya kuweka maneno ya kifaransa ili tujue kama kweli umesoma nje, hahahaha yahaya wewe huna seraaaaaaa huyoooooo kimbia tu hiki chuma cha pua bhana kajipange tena ili uje na shemeji yako huyo. Yahaya wewe!!

Reply uone kama hujakanyaga nyaya za Dj!!
 
mada ya vyeti imeisha au?

yahaya kajipange tena upyaaaaaaa tena ukiwa umeshiba haswaa ugali wa shemeji yako alomuoa dada yako, kisha uje na mada zenye akili, sio mbwembwe zako za mara ooh nimesoma nje, mara kujifanya kuweka maneno ya kifaransa, hayo ni mambo yako, watu hawahitaji majigambo yako humu ndani, ukitaka hayo peleka kwenye vituo vya habari huo uchafu wako ili watu wakujue kakam umesoma au la.
 
umenikimbia eenh!! Hahaha nadhani utakuwa umetia adabu, next time jipange vizuri usikurupuke ovyo kama kuku.

Nimeona tu PM nyingi, nikasema sababu siko kiasasa ni bora ni chunge kucha zangu dhidi ya genge lako la uharo
 
Back
Top Bottom