Hiv kwan ile mic imebadilishwa?!!!..ameomba abadilishiwe kiti na microphone.
..mbona hajaomba kubadilishiwa meza?
Nileteeeni Gwajima X4Gwaji boy!! π₯π₯π₯ Katika ubora wake! Watajuta kumfahamu. Jumapili ijayo, kama kawaida! Ni vijembe tu kwa kwenda mbele.
Ccm Ujanjaujanja Kama KawaidaAFUTWE UANACHAMA TU HANA LOLOTE
Hiyo ni ya kale sana toka enzi za Kolimba, alichofanya leo ni kutaka kutengeneza attention tu.Mmemchelewesha wenyewe sasa anawaumbueni na kuwashtukia katika Mitego katika Viti na Mic.
Askofu Gwajima kajuaje haya ni hadithi ile ile kuwa ndani yenu Watu wa System wapo Watendaji wabaya wanaovujisha Mipango yenu.
System ya sasa ninaamini ina matatizo.
Askofu Gwajima nahisi ana Watu huko.Hiyo ni ya kale sana toka enzi za Kolimba, alichofanya leo ni kutaka kutengeneza attention tu.
Jamaa ake tarimba ni sehemu ya wajumbe wa kamati.Askofu Gwajima nahisi ana Watu huko.
Matatizo yatamwandama taratibu.AFUTWE UANACHAMA TU HANA LOLOTE