Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Wanasema kuchukua tahadhari cio woga yawezekana he knows a thing or two jinsi Mambo yanavokuwa hapo mjengoni.
 
Wengi watakia wageni na hii kitu , hata maofisini kipindi cha vikao wajanja huwa hatukai hovyo hovyo...wakubwa wamenielewa
 
Nimefurahia kiwango cha kujiamini alichonacho.... kawachanganya wajumbe!.😎
 
Duuuu vita hii tamu mnoo hakuna hata wa kuandika muvi, ningipenda nione kipande kinachofwata
 
Mmemchelewesha wenyewe sasa anawaumbueni na kuwashtukia katika Mitego katika Viti na Mic. Hapa System mmeumbuka!!

Askofu Gwajima kajuaje haya ni hadithi ile ile kuwa ndani yenu Watu wa System wapo Watendaji wabaya wanaovujisha Mipango yenu.

System ya sasa ninaamini ina matatizo.
 
Mmemchelewesha wenyewe sasa anawaumbueni na kuwashtukia katika Mitego katika Viti na Mic.

Askofu Gwajima kajuaje haya ni hadithi ile ile kuwa ndani yenu Watu wa System wapo Watendaji wabaya wanaovujisha Mipango yenu.

System ya sasa ninaamini ina matatizo.
Hiyo ni ya kale sana toka enzi za Kolimba, alichofanya leo ni kutaka kutengeneza attention tu.
 
Ana waswas na viti, mic...nk vimepakwa virusi?! Kaonyeshwa na roho mtakatifu au mtakavitu? Nategmea drama tamu toka kwa nabii(?) Huyu
 
MSana yake bunge haliaminiki kabisa, nikusema kamati ya maadili haiaminiki kuwa na maadili na mbunge mwenzao!!! It's a shame
 
Back
Top Bottom