Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kupanga ni kuchagua. Kuna watu wanavaa boxer na wengine hawavai ....ni maamuzi tu.Maaskofu wako akiwemo Bagonza na Mwamakula wanavaa barakoa madhabahuni kila siku.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Alipokikataa kikatolewa nje.
Mbona Jamaa mmoja anajina kama lako ana liwa kitaa na wala halalamiki kama wewe? π Kila mtu ana maamuzi yake bwasheee.....Mbona Lema ameshahojiwa mara kibao na hiyo kamati na bado yuko anadunda tu buheri wa afya huko ughaibuni
Mbona Lema ameshahojiwa mara kibao na hiyo kamati na bado yuko anadunda tu buheri wa afya huko ughaibuni
Halafu anakubali kupata shida huku wakati ,,hiyo ilikuwa chance ya kwenda kuupata ufalme wa mbingu mapema.Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Ulitaka amjaribu Mungu wakati Mungu mwenyewe kamjalia utashi wa akili? CCM tumieni akili japo kidogo basi! Tunajua hamna akili kubwa!Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
so avuke barabara bila kuangalia kushoto na kulia?Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Hahahaaaa Mbona unaweweseka kama umeshushiwa kitu kizito!Mbona Jamaa mmoja anajina kama lako ana liwa kitaa na wala halalamiki kama wewe? π Kila mtu ana maamuzi yake bwasheee.....
Kila victim wa CCM ana mbinu zake za kujilinda na genge la mauaji ya CCM, hatujui Lema alitumia njia gani kuhakikisha anatoka salama. Gwajima ameona atumia njia ya wazi.
Labda Lema alikuwa na internal security within CCM ambao walimtonya kuwa fanya moja mbili tatu. Kaa, tumia mic hakuna madhara.
Never take things for granted when it comes to CCM. Kama hata mwanamke anaweza kumbambikia mtu kesi/kuua, kuwatukana watoto wa wanawake wenzake kuwa hawataolewa/hawana mvuto, OGOPA CCM, OGOPA LOLOTE LA CCM
XChachawangwe aliondoka hivihivi
Na mkaambiwa sumu haionjwiπππ
Hamna kitu mnawezafanya
Mbona ile camera ilimuumbua au umesahau kama yeye sna machaleNdo maana alipewa akili! ila wewe pimbi unadhani anaogopa uchawi!
Hakika wale wanaomfuata huyu jamaa na kuwa waumini wake kanisani wanabidi wapimwe akili
Kwakweli kuna tatizo mahali, mama angeivunja tu safari ya huko Botswana ashughulikie hili!Afu watu wanajadili kwa jazba na matusi.. au ndo chanjo
Mkuu, Biblia huwa haiko hivyo, na wakati mwingine unaweza kuisoma na ukaiona iko hivyo, ila haijasema tusitumie akili zetuHofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
SafiMbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Mungu ametupa akili tuitumie piaRashidi bwana. Sasa kama anaweza kufufua nini kitamtisha tena duniani, uchawi? Sumu? Mzee wa amfifiro ana imani haba
Kwahiyo kama hakuna kinachomshinda Mungu ndo ufanye tu vitu unavyoona sio salama kwako?Anajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?
Sio boys[emoji23]ni jitu lenye akili nyingiJamaa anajikuta great thinker fulani hivi kumbe boya tu