Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Kila victim wa CCM ana mbinu zake za kujilinda na genge la mauaji ya CCM, hatujui Lema alitumia njia gani kuhakikisha anatoka salama. Gwajima ameona atumia njia ya wazi.

Labda Lema alikuwa na internal security within CCM ambao walimtonya kuwa fanya moja mbili tatu. Kaa, tumia mic hakuna madhara.
Never take things for granted when it comes to CCM.

Kama hata mwanamke anaweza kumbambikia mtu kesi/kuua, kuwatukana watoto wa wanawake wenzake kuwa hawataolewa/hawana mvuto, OGOPA CCM, OGOPA LOLOTE LA CCM
Mbona Lema ameshahojiwa mara kibao na hiyo kamati na bado yuko anadunda tu buheri wa afya huko ughaibuni
 
Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Halafu anakubali kupata shida huku wakati ,,hiyo ilikuwa chance ya kwenda kuupata ufalme wa mbingu mapema.
 
Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Ulitaka amjaribu Mungu wakati Mungu mwenyewe kamjalia utashi wa akili? CCM tumieni akili japo kidogo basi! Tunajua hamna akili kubwa!
 
Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
so avuke barabara bila kuangalia kushoto na kulia?
 
Kila victim wa CCM ana mbinu zake za kujilinda na genge la mauaji ya CCM, hatujui Lema alitumia njia gani kuhakikisha anatoka salama. Gwajima ameona atumia njia ya wazi.
Labda Lema alikuwa na internal security within CCM ambao walimtonya kuwa fanya moja mbili tatu. Kaa, tumia mic hakuna madhara.
Never take things for granted when it comes to CCM. Kama hata mwanamke anaweza kumbambikia mtu kesi/kuua, kuwatukana watoto wa wanawake wenzake kuwa hawataolewa/hawana mvuto, OGOPA CCM, OGOPA LOLOTE LA CCM

Chachawangwe aliondoka hivihivi

Na mkaambiwa sumu haionjwi😋😋😋

Hamna kitu mnawezafanya
 
Hana chochote, hana lolote, hana tofauti na Harmorapa, hana uwezo wala kiwaango cha kupata attention ya system. Achana na system.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kumbe jasusi nae muoga?😂😂😂😂😂
Nikajua kina sie tu
 
Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Mkuu, Biblia huwa haiko hivyo, na wakati mwingine unaweza kuisoma na ukaiona iko hivyo, ila haijasema tusitumie akili zetu
 
Anajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?
Kwahiyo kama hakuna kinachomshinda Mungu ndo ufanye tu vitu unavyoona sio salama kwako?
Mungu hafanyi kazi hivo!
Mungu hutoa maelekezo,Fanya hiki,pita hapa,kula hiki acha hiki..nk
Mungu ametupa akili.
Yaani unaona kanisa Luna mbu halafu unasena nalala bila net nina imani?
Huu ni ujinga!
Huko sahihi kabisa!
 
Back
Top Bottom