Ndugu Slip hapo umelaumu tu bila kutoa ushauli kwa maoni yako ungependekeza vyanzo vipi vya mapato viongezeke na ungependa mbinu gani mbadala itumike ili kufikia malengo katika ukusanyaji wa kodi?Msitegemee jipya zaidi ya kodi za kukamuana na kuongeza ukubwa wa budget(makadirio), budget ambazo kila mwaka hawafikii malengo kwenye makusanyo.
Hawabuni wala hawatengenezi vyanzo vipya zaidi ya kucheza na vyanzo vile vile miaka yote( pombe, kodi za bandarimi, n.k).
Ubunifu wa miradi mipya hauendani na ongezeko la vyanzo vya mapato matokeo yake budget hazitekelezeki.
CCM imefeli sana katika swala zima la ubunifu wa vyanzo vya mapato.
Safari hii covid ndio itakuwa wimbo kwenye hii budget na kulalamika wahisani kutotekeleza ahadi zao.
Vurugu ztakazo lipuka sasa huko barabaran...sipat picha side mirrors zetu ztakavyovunjwa...yaan hawa mbwa watatamba sana huko..yaan ile kujibenua wanavyofanyaga..itakua mara 10Fine za bajaji na pikipiki sasa ni la Ten.
Hii sio budget ya kuendesha ccmHeri ya asubuhi wanajamvi wenzangu, ni matumaini yangu mu buheri wa afya na kwa wale wanaoumwa Mwenyezi Mungu awajalie nafuu ya haraka.
Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kuwasilishwa leo Juni 10, 2021 Bungeni katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba ameeleza kuwa Bajeti ya mwaka huu ni Bajeti ya kimkakati na ikumbukwe kwamba uwasilishaji wa leo utakuwa ni wa kwanza kwa Serikali ya awamu ya sita ambayo inaongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Moja ya watu waliopewa mwaliko maaalum wa kushuhudia uwasilishaji huu Bungeni ni wajumbe wa Kamati Kuu (KK) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi.
Matangazo ya moja kwa moja ya uwasilishaji wa Bajeti Kuu kwa mwaka wa fedha 2021 - 2022 yatarushwa na televisheni ya Taifa (TBC) na vyombo vingine vya habari vya nchini Tanzania.#BajetiYaKimkakati
#BajetiYetuMaendeleoYetu
#BajetiRafikiNaShirikishi
#KaziInaendelea
View attachment 1813921
View attachment 1813920
Hapo hapo wameondoa kodi ya smartphones, now zitaingia kwa vurugu mtindo mmoja.Wanapunguza kodi ya makampuni ya kubet ili waongeze idadi ya makampuni hayo hivyo Watanzania kushiriki kwa wingi na kupoteza pesa zao!!!! Badala ya kupunguza kodi kwa Wafanyakazi. Mnaoshiriki kubet STUKENI muokoe pesa zenu.
Vurugu ztakazo lipuka sasa huko barabaran...sipat picha side mirrors zetu ztakavyovunjwa...yaan hawa mbwa watatamba sana huko..yaan ile kujibenua wanavyofanyaga..itakua mara 10
Kabisa..wamefuta na kupunguza kodi maeneo meng sana...yaan kama mtu hajaskia...anaweza akaendelea lipa as usual kumbe mambo yamebadilika...migodin pia nimeskia tena kaongea kwa muda mref sana..kodi kibao zmepunguzwa...so ni muhimu sanaFollowing kwa tbc
Tusubiri tuone..ni mapema sanaKabisa..wamefuta na kupunguza kodi maeneo meng sana...yaan kama mtu hajaskia...anaweza akaendelea lipa as usual kumbe mambo yamebadilika...migodin pia nimeskia tena kaongea kwa muda mref sana..kodi kibao zmepunguzwa...so ni muhimu sana
Hujaskiliza mkuu..achana na stor za vijiwen.ungeskiliza kwanza...kama inakuhusu utaiona ya muhim lakin kama hikuhusu utaona takataka tu..makod kibao yamepunguzwa huko mengne yametolewa kabisa...bidhaa kutoka nje zisizo na mntik wamedhibit ili watu wachangamkie fursa..sasa unasemaje bajet haina maana...au ndo stor za vijiwen zilezile tulizozoeaMimi bora nifuayilie Cartoon ya Tom and Jerry kuliko "bwajet" yenu !!! Hakuna lolotr
Yale Yale tu shida tunategemea kulishwa Kama kinda hatuna vyanzo vya mapatoBajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali
Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22
KwakwelTusubiri tuone..ni mapema sana
Hapo naona wamepuyanga. .vijana watakufa sana na zaid..tunawajua vzur bodaboda types..akil hawanaga...nilitegemea tozo yao iwe juu zaid...wanavunja sana side mirrors zetu barabaran sabab wana overtake hovyo..yaam itakua shida. Viduku ndo vitaongezekaPia ile faini ambayo wanapigwa bodaboda/toyo kwa kila kosa moja, imepunguzwa kutoka Tsh 30,000 hadi 10,000