Bungeni: Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2021/22

Vipi kuhusu Pombe?(Sio Jiwe)
Wamepunguza kod nadham kwenye shair na kuongeza ile ya kuagizwa..wanataka waimarishe inayotengenezwa hapa....mambo mengne kuhusu pombe nilikua sina muda wa kuyaskiliza.si muhim sana kwangu
 
Nini maoni yako kuhusu wigo mpya wa kodi kwenye bajeti 2021/22?
 
Nini maoni yako kuhusu wigo mpya wa kodi kwenye bajeti 2021/22?
Kodi zozote ambazo ni ndogo ndogo mimi sizipingi na hasa kama zinagusa watu wengi ila mradi zilenge kupunguza gharama za huduma ambazo ni ghali na ikiwezekana zipunguze city kama PAYE.
 
Yaani wizara yote wabunge wote pale ,wasomi wote wizarani na bungeni elimu darasa la saba mpaka PhD .ndio akili zao zimefikia kuamua kodi ya jengo ilipwe kupitia umeme,kweli unafikiria unaweza shauri vingenevyo ,sisi raia wakasikia !!??? Sana sana ni kugoma tuu,wavivu wakubwa hawa kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…