Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

Nakumbuka mwaka 2015, Mzee wangu Prof (Chuo kikuu fulani)

Anaingia Ofisin kwake, anakuta kiti kina kama vumbi la unga mweupe, anakaa, anaanguka na kupoteza fahamu.

Mwaka 2017, wakiwa kwenye kikao, anatoka kwenda kukojoa, hajui kilitokea nn, aliporudi, akanywa maji yake , palepale Tumbo likaanza, Alilazwa Hosp wiki mbili usheeee

Haya mambo mtu anaweza yashanga...kuna zile sumu za kijasusi za polonium , zinakuua taratibu taratibuu
 
Kuna watu wana bahati zao, huyu angekua kiongozi wa dini ya wenzetu angekua analetwa na msafara wa magari na ving'ora ya sio pungua 10 askari wagetapaka kila kona......." all animals are equal but some animals are more equal than others" animal farm.
Magaidi
 
Animal farm umenikumbusha mengi hadi Mwl.Nyerere anakipiga marufuku .
 
Hawa ni ndugu wanagombana wenyewe kwa wenyewe. Sisi tuchukue jembe tukalime, wakipatana tuchukue kapu tukavune! Natamani wangechomana na bisi-bisi, hatuna hamu nao.
 
Hawawezi kumtafutia polonium mtu mdogo Kama huyu, Polonium wanapigwa ma Super spy wa huko KGB na watu wazito wazito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…