Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Sio bure uenda ana taarifa za uhakika walichokipanga juu yake,Msisahau ya Kolimba,CCM wana criminal history ya uuaji for a longtime now.Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
View attachment 1907812
View attachment 1907814
Yesu mwenyewe alitoroshwa mpaka Misri kumkimbia Herode,kwani ni asingebaki tu Mungu amlinde?Sumu vs Virus. Sumu imechukuwa kombe. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣. Huyu jamaa si anajigamba kanisani kuwa mtu akitaka kumuua anadhurika kabla hajatekeleza? Haya sasa kiko wapi?
Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
View attachment 1907812
View attachment 1907814
Mwakyembe kilimkuta nini!?
Nilikuwa na mawazo kama yako.Huyu ni mgonjwa wa akili si bure
Fukua makaburi utajua.. Inaonekana alikuwa simu inayokausha ile supu ya kwenye mfupi (borne marrow kama sijakosea)Mkuu, Mwakyembe alipatwa cha kupatwa, kwenye issue ipi?
Hata walioko Mirembe, wanadhani tulio nje ya wood zao ndo vichaaMgonjwa wa akili huyo, maneno na matendo yake linadhihirisha hilo
Yeah....u r right.CCM wamemdekeza wenyewe, wacha wahangaike naye!!
Matunda ya nileteeni Gwajima ndo haya.Huyu pimbi kaendekezwa sana sasa acha awapande vichwani
Wewe ndiye unakariri. Yesu hakuja duniani ili alindwe na Mungu. Kinyume chake ni kuwa Yesu alijitoa sadaka na alipoenda Misri ni kwa sababu bado alikuwa hajatimiza kazi yake. Na zaidi Yesu hakuwahi kujigamba kuwa kama kuna mtu anataka kumdhuru basi anadhurika yeye kwanza. Gwajima ndiye anajigamba hivyo. Anajigamba kuwa haogopi chochote kwa sababu hakuna wa kumdhuru. Yaani ukitaka kumdhuru wewe unapata madhara kabla hujatekeleza unalodhamiria. Ewe ndondocha wa porn star Gwajima ona hujui hata maandiko kwa sababu akili zako zimetekwa na huyo tapeli mpenda ngono!Yesu mwenyewe alitoroshwa mpaka Misri kumkimbia Herode,kwani ni asingebaki tu Mungu amlinde?
Usikariri.
He's best of all who can represent Kawe in Parliament!Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
View attachment 1907812
View attachment 1907814
Aisee, hatimaye hadithi nilizosoma sekondari na sinema zake zinapata uhalisia ndani ya JMT. Hili hakika ni jinamizi la Dk Victor Frankenstein (Frankenstein's monster). Bahati mbaya, mwenyewe Dk aliyeliumba keshaenda zake; kawaachia CCM maumivu.Hujui usemalo! Ni nani aliyempa huo ubunge, tena kwa mizengwe ya waziwazi na kupora kura? Sema jini walilofuga wenyewe limewageuka na kuanza kuwameza wao wenyewe.
Unawaamini vipi CCM wanaosema ugaidi unafadhiliwa kwa shilingi za Tanzania 600,000?Hawaamini wana CCM wenzake.
Huyo ndie Gwajiboy ndani ya chama la wanachama kijani.Haogopi Corona lakini anaogopa kiti
Aliyempa Ubunge kafa hao waliopo hawamtaki ni vile wanatafuta jinsi ya kumuondoaHujui usemalo! Ni nani aliyempa huo ubunge, tena kwa mizengwe ya waziwazi na kupora kura? Sema jini walilofuga wenyewe limewageuka na kuanza kuwameza wao wenyewe.
Wewe ndo unajigamba unajua Neno kumbe hewa.Wewe ndiye unakariri. Yesu hakuja duniani ili alindwe na Mungu. Kinyume chake ni kuwa Yesu alijitoa sadaka na alipoenda Misri ni kwa sababu bado alikuwa hajatimiza kazi yake. Na zaidi Yesu hakuwahi kujigamba kuwa kama kuna mtu anataka kumdhuru basi anadhurika yeye kwanza. Gwajima ndiye anajigamba hivyo. Anajigamba kuwa haogopi chochote kwa sababu hakuna wa kumdhuru. Yaani ukitaka kumdhuru wewe unapata madhara kabla hujatekeleza unalodhamiria. Ewe ndondocha wa porn star Gwajima ona hujui hata maandiko kwa sababu akili zako zimetekwa na huyo tapeli mpenda ngono!