Wewe ndiye unakariri. Yesu hakuja duniani ili alindwe na Mungu. Kinyume chake ni kuwa Yesu alijitoa sadaka na alipoenda Misri ni kwa sababu bado alikuwa hajatimiza kazi yake. Na zaidi Yesu hakuwahi kujigamba kuwa kama kuna mtu anataka kumdhuru basi anadhurika yeye kwanza. Gwajima ndiye anajigamba hivyo. Anajigamba kuwa haogopi chochote kwa sababu hakuna wa kumdhuru. Yaani ukitaka kumdhuru wewe unapata madhara kabla hujatekeleza unalodhamiria. Ewe ndondocha wa porn star Gwajima ona hujui hata maandiko kwa sababu akili zako zimetekwa na huyo tapeli mpenda ngono!