This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Wenye akili nyepesi wanaofikiri Gwajima hajui anachokifanya.Nakumbuka mwaka 2015, Mzee wangu Prof ( Chuo kikuu fulani)
Anaingia Ofisin kwake, anakuta kiti kina kama vumbi la unga mweupe , anakaa, anaanguka na kupoteza fahamu.
Mwaka 2017, wakiwa kwenye kikao, anatoka kwenda kukojoa, hajui kilitokea nn, aliporudi, akanywa maji yake , palepale Tumbo likaanza, Alilazwa Hosp wiki mbili usheeee
Haya mambo mtu anaweza yashanga...kuna zile sumu za kijasusi za polonium , zinakuua taratibu taratibuu
Hawaamini wana CCM wenzake.
AiseeHuyo wanamlea sana kwa hizi drama zake za Kikolomije
Watu ni wajinga Sana. Wanafikiri Gwajima hana vyanzo vya taarifa nyeti .Personally namuelewa sana Askofu....Gwajima ni mtu smart sana kwa akili ya kawaida huwezi kuelewa ujumbe anaotoa...He knows something...
Mungu amlinde pamoja na mapungufu yake....ila ipo siku ukweli utakuwa wazi
Wasukuma wana akili ndiyo maana wako wengi..... 🤣🤣🤣🤣Huyu Ngosha ananifurahisha.
NIMEWAAMBIA HAPO JUU SIO FALA YULE OOOH KUMPIGA LABDA STYLE YA COASTAL UNION WAULIZEN YANGAWatu ni wajinga Sana. Wanafikiri Gwajima hana vyanzo vya taarifa nyeti .
Si swala la kufunuliwa Kwani ya Chenge ilikuwaje. Kuna watu huwezi kuwaua kimbuzi hivyo . Kolimba yuko wapi, nini kilimkuta Mwakyembe. Zungumzeni kwa rejea. Halafu njoo mwone Gwajima hana akili.Which means labda amefunuliwa kuwa kule bungeni kuna ugaidi wa kudhuru watu kwa kutumia vitu vilivyofichwa kwenye viti!
Wamenusa akiingia BUNGE LIJALO HALIYA HEWA ITACHAFUKA WAMUWAHI HAHAHAWasukuma wana akili ndiyo maana wako wengi..... 🤣🤣🤣🤣
Drama queen?Gwajima ni drama queen wa taifa
Nyie ni dini ya fujo hata shetani mwenyewe anawakubali. Ni wapi palilipuliwa ukakuta si waislamu wamefanya hiyo misheni.Angekuwa ni muislamu angeshakuwa ndani siku nyingi
Kweli kabisa!wakati wa kukusanya na wakati was kutawanyaHajui kuna wakati wa kuokota mawe na wakati wa kurusha mawe.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Pat's ufahamu kidogo mkuu.Sumu vs Virus. Sumu imechukuwa kombe. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]. Huyu jamaa si anajigamba kanisani kuwa mtu akitaka kumuua anadhurika kabla hajatekeleza? Haya sasa kiko wapi?
Hamjui historia ya matukio km haya tangu Kolimba kuuawa kwa sumu ya maiki, ya Mwakyembe, Mangula, Mwamunyange, Magu nk.Nilikuwa na mawazo kama yako.
Uliwahi kuwaza ni namna gani yule kichaa unayemwona barabarani jinsi anakuona ww unaejiona mzima.Hana akili huyu ni mgonjwa wa akili tu.