Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

Unngeanza wewe na familia yako kama mnayo bajeti na ni kwa kiwango gani mnaitumia kufanikisha malengo ya mipango yenu.
 
Kila mwaka wanasoma bajeti isiyotekelezeka, wanaona raha kuweka ma-figure makubwa trillion kadhaa kujifurahisha tu, huku kwenye uhalisia maisha ya mtanzania ndio yanazidi kuwa hovyo.
Wewe kama wewe unayo bajeti na inatekelezeka! Maana bajeti inatengenezwa na watu kama wewe na inapitishwa na watu wawakilishi wa watu?
 
Deni la Taifa limezidi bajeti ya mwaka ya taifa!
 
Maadui wa ndani ni wale wapinga maendeleo
Kama mnaamini mnaleta maendeleo na wao wanawapinga wasubirini kwenye uchaguzi.Mzinadi Sera zenu,mkiwakumbusha wananchi ahadi mlizowaahidi mmetekeleza.Wananchi waamue kwenye sanduku la kura badala ya kupiga risasi na kuvunja miguu maadui zenu.
 
Na alitumia masaa mawili kuimba mapambio
 
Kuchagua namba ni kwa gari zinazoingia nchini au hata sisi wenye namba 'A' tunaweza kuweka jiwe tano mambo yakawa mswano?
 
...ongeza hii, nusu ya muda huo "aliosoma" bajeti uchwara ameutumia KUMSIFU mtukufu Jiwe!.
 
Hizi sifa nyingine sometimes tuwe na tafakuri kidogo
 
Bajeti hewa tokea 2015 sirikali mpya imeingia hakuna wizara imewahi pata 70% ya budget zaidi ya wizara ya miundombinu the rest hakuna
Leo bunge la Jamhuri kupitisha azimio la kumpongeza mhe. John Heche mbunge wa Chadema kwa kutoa michango mizuri ambayo imechochea katika ukuaji wa uchumi wa nchi katika sekta mbalimbali ikiwamo: Sekta ya Madini, Afya hasa kupamana na Corona, Sekta ya fedha kwa kutoa siasa za mfumkoni na kuhakikisha 2020 kila kijana anapewa shilingi million 50 kwa ajili ya kuboresha Maisha yake atakavyo. Mawazo yake katika bunge yamegharimu serikali jumla ya shilingi Tirion 3 maana hakuna wazo la mbunge ambalo halina gharama..

Hayo yameemwa leo na mhe. Spika Job ndugai.

Azimio hilo litawasiliswa na Riziwani KIKWETE
 
Hao ndio Vijana wa CCM wanaolipwa buku saba kwa siku,wakishalishwa ubwabwa maharage na kuwekewa bando akili hazifanyi kazi tena kazi kusifia ujinga.
Halafu Baada ya hapo wakisikia Lissu katangaza nia wanashikwa na tumbo la kuhara.Vitu vyote walivyokula vinavurugika tumboni!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mjadala wa bajeti watu wameupuuza kama walivyopuuza maigizo ya Job na mkwe wake Lijualikali
 
Toka rais Magufuli aingie Ikulu kila siku bajet ni trillion 33 tu haipandi? Why na wanasema uchumi unapanda , while other country budget growing up in triple Digit? Kweli nchi ni shamba la Bibi , kazi kusifu watu na kuwatukuza , kuwaita akina yesu wa Tanzania ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…