Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

Mkuu la Mpango lile liko ki mwaka, kuleta uelewa mzuri tumelileta kimwezi baadhi ya wadau wapate mnyumbuliko kama ambavyo wameuliza hapo juu.

na je hiyo 30% inayokatwa ni baada ya kutoa Mchango wa hifadhi ya jamii na bima ya afya?
 
Bajeti imegeuzwa kuwa kampeni, matokeo yake hata humu mitandaoni hamna uchangiaji wowote wa maana. Ni kama vile bajeti imepuuzwa na watu wenye mitazamo huru.
Leta maoni yako huru tuyakague kama kweli yako huru na yanalenga kuboresha utekelezaji wa bajeti husika ili kuboresha uchumi wa watanzania.
 
Leta maoni yako huru tuyakague kama kweli yako huru na yanalenga kuboresha utekelezaji wa bajeti husika ili kuboresha uchumi wa watanzania.

Toka lini maoni yangu yakatumika kuboresha bajeti?
 
Wa Tanzania watu wa ajabu sana.
I thought Unge focus kwenye content ya hotuba ya Bajeti, eti uka concentrate kwa Waziri kusimama Muda Mrefu Bila kunywa Maji na kukunja goti.
Hii nchi tatizo lake kuu kabisa ni akili za Wananchi wake...
Hata mm nilidhani angefanya kama ulivyosema. Any way, ndio focus yake ilipo hapo.
 
Wa Tanzania watu wa ajabu sana.
I thought Unge focus kwenye content ya hotuba ya Bajeti, eti uka concentrate kwa Waziri kusimama Muda Mrefu Bila kunywa Maji na kukunja goti.
Hii nchi tatizo lake kuu kabisa ni akili za Wananchi wake...
Hahahaaaaaaaa
 
Tunamshukuru Rais JPM kwa kutupatia deni kubwa kwa kipindi kifupi!
 
Dona kantre tunatumia "feza zetu za ndani
 
Wa Tanzania watu wa ajabu sana.
I thought Unge focus kwenye content ya hotuba ya Bajeti, eti uka concentrate kwa Waziri kusimama Muda Mrefu Bila kunywa Maji na kukunja goti.
Hii nchi tatizo lake kuu kabisa ni akili za Wananchi wake...
Wajinga ni wengi mkuu
 
Kweli bado tuna safari ndefu ya kupambana na ujinga.
Mnatuita wajinga ehee. Nyie werevu siyo kwa kumua Ben. Nyie wajanja siyo kwa kuiba matrilion. Nyie werevu kww kuiba rambirambi. Nyie werevu siyo kwa kuiba wake za watu na kuzaa nao kwasababu ya cheo kikuu. Pouwa bana. Si wajinga ila tunaliombea mauti tuu
 
Nionavyo Ni kuwa akili za watu ziko kwenye siasa kuliko Mambo ya muhimu Kama hivi bajeti. Wengi naona wanauona Kama siyo staili yao kujadili. Kwangu hii bajeti haijatibu Hali duni ya mtu wa chini.
Ni bajeti yenye pambio Kama zilizopita. Bunge haijawa serious kulisimamia serikali na ukifuatilia mijadala bungeni kina Lusinde na Musukuma wstskufanya utapike. Hoja zenye mishiko hakuna wabunge wa CCM wamebaki kupongeza na kuomba miongozo tu dhidi ya hoja za maana.
Watumishi hawajaguswa, wapo wastaafu mafao yao bado Ni kitendawili na hata mapunjo yao ya mishahara pia hawajalipwa. Miaka takribani 5 watumishi hawajaingezewa mishahara wakati Bei ya vitu na Hali ya Maisha iko juu. Wakulima wamekosa pembejeo na wsfugaji pia wsko hoi. Wavuvi wetu wsnsjiendea tu kubangaiza Maisha. Kila sehemu pachungu, wanufaikaji wakubwa Ni wabunge especially wsliohama vyama vyao na kuingia ccm.
 
Back
Top Bottom