Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.
Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.
Ukumuuliza mtu mwenye akili timamu achague kati ya maisha 'huru' au kuzungukwa na mitutu kumlinda mpaka chooni atachagua maisha 'huru'. Lakini kwa sababu maisha 'huru' yanakuwa kwenye majaribu basi mtu analamizika kuzungukwa na watu wa miraba minne tena waliobeba salaha.
Kanumba hakuuwawa na majambazi, hakuvamiwa na watu asiowajua. Bodyguard anahitajika kama mtu anaona kuwa usalama wake unaweza kuwa hatirini. Huyu Martha Mlata anataka kutuambia kuwa Kanumba amekufa kwa sababu hakuwa na bodyguard? Au kwa sababu wanaona wenzao wa Hollywood na Nollywood wamezungukwa na mabaunsa basi Mlata anaona naye aige. Asilolitambua ni kwamba huko kwa hao ma-star mambo ni tofauti kabisa - kiusalama.
Kwa vyoyote vile, Kanumba amekufa katika mazingira ya scandal. Bahati ni kwamba msiba umevamiwa na wanasiasa kwa sababu zao wenyewe hivyo kipengele cha scandal kinafifia. Ni marehemu Kanumba na huyo binti wa miaka 17 (or 18) ndio wanajua nini kimemuua na pengine hali ingekuwa hivyo hivyo hata kama alikuwa anaishi Oysterbay.
Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.
Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.
haka kamama ni janga la kitaifa
Na wewe ni walewale hebu mwaga hapa aliyoyasema Sugu, ili tuone kama na yeye ametukashifu tunaoishi uswazi.
Nilibahatika kusikiliza redio fulani kwenye mahojiano mmiliki wa studio alikuwa anaelezea umaarafu aliokuwa nao Marehemu Kanumba(RIP) lakini alikuwa anaishi maisha ya kawaida sana, alipaswa kuwa mtu maarafu sana na mwenye kuishi maisha ya hali ya juu kama msanii maarafu. JE HAYO YOTE KWANIN HAWAKUWEZA KUYAONA NA KUMPA HIZO HADHI MPAKA KIFO NDIO MTU ANAONAKANA UMAARUFU WAKE NA HADHI YA MAISHA KWANINI HAMKUWEZA KUIBORESHA? binadamu akishapoteza uhai ndo umuhimu wake, michango yake kwenye jamii na taifa kwa ujumla ndo unaonekana. kwanini?
hahahahah daa umenichekesha sana aiseee!.
Nkapa anaishi kiwanja namba moja yaani ikulu iliyozungukwa na walinzi nje na ndani. Lakini hali hiyo haikumzuia Anna kumtengua nyonga.
.