Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.

Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.

.
Nkapa anaishi kiwanja namba moja yaani ikulu iliyozungukwa na walinzi nje na ndani. Lakini hali hiyo haikumzuia Anna kumtengua nyonga.
.
 
Ukumuuliza mtu mwenye akili timamu achague kati ya maisha 'huru' au kuzungukwa na mitutu kumlinda mpaka chooni atachagua maisha 'huru'. Lakini kwa sababu maisha 'huru' yanakuwa kwenye majaribu basi mtu analamizika kuzungukwa na watu wa miraba minne tena waliobeba salaha.

Kanumba hakuuwawa na majambazi, hakuvamiwa na watu asiowajua. Bodyguard anahitajika kama mtu anaona kuwa usalama wake unaweza kuwa hatirini. Huyu Martha Mlata anataka kutuambia kuwa Kanumba amekufa kwa sababu hakuwa na bodyguard? Au kwa sababu wanaona wenzao wa Hollywood na Nollywood wamezungukwa na mabaunsa basi Mlata anaona naye aige. Asilolitambua ni kwamba huko kwa hao ma-star mambo ni tofauti kabisa - kiusalama.

Kwa vyoyote vile, Kanumba amekufa katika mazingira ya scandal. Bahati ni kwamba msiba umevamiwa na wanasiasa kwa sababu zao wenyewe hivyo kipengele cha scandal kinafifia. Ni marehemu Kanumba na huyo binti wa miaka 17 (or 18) ndio wanajua nini kimemuua na pengine hali ingekuwa hivyo hivyo hata kama alikuwa anaishi Oysterbay.

Kifo cha kwenye UASHERATI ni cha aibu, hakupaswa kupata publicity yote hiyo. Katoto kenyewe ni minor na huenda alikadanganya kuwa njoo tuigize tutengeneze filamu akaishia kuka..... kakakurupuka na kumsukuma na kuangukia bichwa na ubongo kutikisika.

Huyo mbunge hafikiri kabisa, hata Rais ikifika suala la unyumba, walinzi hawakai na kuhesabu ups and down au in and outs. A
 
Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.

Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.

Hapa ndo utaona kuwa wanasiasa wetu hamna kitu ndo maana wanaamua kushugulika na masuala yasiokua ya msingi huku taifa likizama hv hawa wanaoonyesha uzinzi na ulevi waziwazi wanaweza kuwa na mafunzo gani kwa jamii yetu mpaka mshugulike kiasi hicho? mi nilitegemea saaana pale ningemuona mh nchimbi tu
 
Ni aibu kwa watu tunaowapa dhima kama hii bila kuwapima kwa vigezo sahihi, hili ni janga la taifa tukubali tukatae
 
Huyo mama hana tatizo, tatizo ni kwamba amesahau kutumia ubongo kufikiria badala yake ameona atumie KIHARAGE NA MASABURI KUWAZA.
 
kuwasilim kweli hili ni janga, inamaana huyu mp usingetokea. huku msiba asinge ongea lolote. huku nikifilisika kihoja
 
kwakweli hili ni janga, inamaana huyu mp usingetokea huu msiba asingeongea lolote. huku nikifilisika kihoja
 
Martha Mlata is a stupiid MP who needs to have her brain examined. Kwanini tunawavumilia wabunge na watu wengine wanaotaka kuanza kutubagua kwa kipato wakati wengi wao vipato vyao ni vya wizi tu? Shame on all who think they can easily and cheaply divide us. Kama huyo mtu wake alitaka akaishi sehemu yenye usalama si angemtafutia chumba White House kwa Obama? Ajabu hao wanaosemekana kutofaa kuishi na mtu wake ndiyo hao hao waliomfanya mashuhuri na kujazana kwenye mazishi yake.
 
niliwahi kuangalia movie kadhaa za hawa wakina kanumba na ray sikumalizia maana nilikuwa naona aibu mwenyewe kwa jinsi walivyokuwa wanachemsha katika kuigiza,.najiuliza ule umati uloenda pale leaders walienda kuzika kama wanavyozika binadam wengine au sababu ya ustaa wa huyo kanumba kwenye movie?
 
Anawatukana wabunge wanao ishi sinza hiki kibibi.
 
Nasikia Nape amewasisitiza wawakilishi magamba wawe wanajitahidi kusimama mjengon angalau wasikike wakibwabwaja chochote, sasa Mlata alikuwa anatimiza order! Tatizo Magamba hawafikiri kabla ya kusimama kuchangia hoja.
 
Huyo anajua uswazi kweli.Mwambieni uswahilini hapatemwi mate utamtemea mwenzako.Kule mpaka magari yanapita bwana Wabunge wengine bwana au sio watanzania nini
 
Na wewe ni walewale hebu mwaga hapa aliyoyasema Sugu, ili tuone kama na yeye ametukashifu tunaoishi uswazi.

Niwe wale ama nisiwe,point yake ni kwamba kwa msanii km Kanumba alipaswa awe na maisha bora kuliko aliyokuwa akiishi,kwa kazi na mafanikio yake kwenye sanaa aliyokuwa akifanya..hilo ndilo la msingi ambali yeye na Sigu walilokuwa eanasisitiza ktk hoja zao,ambayo ni kweli na
hajamponda mtu yoyote wa uswahilini.
 
OK, hapa nimekuelewa, kwahiyo na LULU naye ni mtu maarufu , anapaswa awekwe kwenye kizuizi chja watu maarufu na kesi yake iendeshwe kama mtu maarufu, kama ilivyoondeshwa kesi ya Zombe, ili iishe haraka aendelee kuponda maisha.
Nilibahatika kusikiliza redio fulani kwenye mahojiano mmiliki wa studio alikuwa anaelezea umaarafu aliokuwa nao Marehemu Kanumba(RIP) lakini alikuwa anaishi maisha ya kawaida sana, alipaswa kuwa mtu maarafu sana na mwenye kuishi maisha ya hali ya juu kama msanii maarafu. JE HAYO YOTE KWANIN HAWAKUWEZA KUYAONA NA KUMPA HIZO HADHI MPAKA KIFO NDIO MTU ANAONAKANA UMAARUFU WAKE NA HADHI YA MAISHA KWANINI HAMKUWEZA KUIBORESHA? binadamu akishapoteza uhai ndo umuhimu wake, michango yake kwenye jamii na taifa kwa ujumla ndo unaonekana. kwanini?
 
Nae kakurupuka tu,analonga ndiyo wabunge wenye vimbelembele kama tai ya msabato. Hana cha kuongea basi nae anachangia. Nchimbi mwenyewe anasema ataboresha maslahi kwa wasanii wkt ni miaka nenda rudi hakuna jipya lolote.
 
kweli tunasikitika sana kwa msiba wa kanumba.na watu wengi wanamlaumu lulu lkn me nasema ni afadhali ya lulu kuliko watu wengine ambao ni mafedhuli zaidi ya lulu.wanadhulum watu.wanaua watu.wanawapa mimba watt wa watu na kuwatelekeza halafu ndo wa kwanza kumlaumu lulu,lkn mimi nasema ipo mahakama ambayo huwezi kuhonga wala kutoa rushwa,ni mahakama ya kweli.ipo siku watahukumiwa sawasawa na matendo yao.ni afadhali ya lulu kuliko ufedhuli unaofanywa na wanadamu wengine hapa duniani
 
.
Nkapa anaishi kiwanja namba moja yaani ikulu iliyozungukwa na walinzi nje na ndani. Lakini hali hiyo haikumzuia Anna kumtengua nyonga.
.
hahahahah daa umenichekesha sana aiseee!
 
Back
Top Bottom