The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
- Thread starter
- #21
Hakuna tatizo, na kunaweza kuwa na tatizo pia...Sasa mkuu tatizo ni watoto kua wengi,au tatizo ni elimu kua bure?
Tatizo ##1. Upungufu wa madarasa:
Solution:
Jenga madarasa ya kutosha ili wanafunzi wawe na enough learning space
Tatizo ##2: Kuwajengea dhana potofu wananchi kuwa kuna kuna vya BURE DUNIANI kupitia kitu kinaitwa "ELIMU BURE" kitu ambacho ni uongo kiasi cha kutengeneza ulemavu wa akili na kutowajibika kwa wazazi/walezi kwa watoto wao wenyewe na kubaki kulalamika tu kama ambavyo wewe unalalamika na huyu mwenzako YournameisMINE anavyofanya kwa sababu anaamini katika "BURE"..
Solution:
Watawala waache uongo na wawaambie watu ukweli na serikali iwajibike kwa SEHEMU YAKE ktk maeneo yake ya utoaji huduma kwa wananchi ikiwemo elimu na wakati huohuo wananchi na sisi tutambue kuwa tunapozaa tujue na kutunza watoto wetu na kuwalea sawasawa..
ASANTE,. usiku mwema..