Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Tuna rais hasiyejua impact ya matamko yake kwenye eneo zima la uchumi.Huo mjadala uwe kweli na immediate impact, sio wanajadili tu halafu mambo yanabaki vile vile huku bei ya mafuta ikizidi kupanda na kuwaumiza watumiaji.
Rais kuruhusu bei za vitu kupanda kwasababu ya vita ya Urusi na Ukraine haya ndio matokeo yake, tunaumizwa wananchi na mafisadi wajanja kwenye wizara ya nishati.
Watz tumezubaa sana.
Kwa mfano Petrol Station za Esther nasikia za mbunge fulani waziri aliyetu..... Bu....Nusu ya wabunge fake wana petrol station zao za kutosha na mabasi
jamiiforuma tuwekeeni dislikes pia kusiwe na likes and quotes onlyWanabodi,
Moja ya kazi za Bunge ni Kuisimamia serikali. Bunge la Mhe. Job Ndugai, lilituhumiwa kuwa ni Bunge dhaifu kuwahi kutokea, hivyo Spika Job Ndugai kuhesabika ni Spika dhaifu kabisa kuwahi kutokea, hivyo kupachikwa jina la "Bora Spika" Kwa kuanzia mimi niliisikia sauti hii Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Job Ndugai alipojiuzulu tukasema Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?
Kwa vile Dr. Tulia alikuwa ni Naibu Spika wa Spika dhaifu, alipochaguliwa kuwa Spika, kuna watu walidhani Bunge la Tulia litakuwa ni Bunge Dhaifu kama Bunge la Ndugai.
Nilitoa ushauri huu Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
Sasa hiki ndio kinatokea Leo,
Bunge la Dr. Tulia, sasa limeanza kuisimamia Serikali kiukweli ukweli!, leo limesimamisha shughuli zake zote kujadili hoja ya dharura ya Mhe. Omari Kigua, kujadili kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizeli.
Hongera Sana Spika Tulia, Bunge sasa linaisimamia serikali
Keep Watching Bunge Live
na Kazi iendelee!
Paskali.
Hizo tozo haziondolewi moja kwa moja...Zinaondolewa kwa muda tu mpaka hali itakapokaa sawa sawa.Wameongea weeee lakini mwisho wa siku Serikali ndio itakuja na jibu maana hakuna cha azimio la Bunge wala nini ila ni maelekezo ya serikali kukaa na kutafakari..
Ukimsikiliza Simbachawene alitoa msimamo wa serikali Kwa hiyo don't expect too much..
Mwisho mimi natoa ushauri,unapotaka haki kuwe na uwajibikaji.. Serikali ikiondoa hizo tozo lazima wabane watu wanaponunua bidhaa wawe na risiti Ili kufidia pengo vinginevyo itakuwa ni serikali ya Zima moto na Hawa Hawa wanaolalamika leo watakuja tena kulalamika Kuhusu barabara ,maji,afya nk na hawatajua kwamba Serikali ilitoa vyanzo vya mapato yake vya kwenye mafuta.
Mbunge ana posho ya mafuta ya gari kila mweziHakika, inasikitisha sana, kumbe nao limewagusa...
dislikes zipo!jamiiforuma tuwekeeni dislikes pia kusiwe na likes and quotes only
Keep Watching Bunge Live
na Kazi iendelee!
Panya road?Hiyo bei ya kawaida tu! Mbona US bei ghali kuliko huku? Alisikika panya [emoji2926].
Sent using Jamii Forums mobile app
Niache kuitetea Idara yenyewe
inayonilipa, kula, kunywa na kulala, ndio nimtetee usalama mwenzagu Zitto kama utetezi huuTISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Pasko kuwa Usalama wa Taifa basi Tunajua unapewaga briefing uzilete hapa na unafanya uandishi kama cover tu. Sent using Jamii Forums mobile app Mkuu Babe la mji , duh...!, yaani Pasco ni TISS!, uandishi ni kuzuga tuu!, kiukweli hii kali na kubwa kuliko!. Tiss anayeikosoa serikali yake...www.jamiiforums.com
Zitto Zuberi Kabwe ni Mchochezi. Akamatwe, Ashitakiwe kwa Uchochezi, adai Rais Magufuli ni...
Wanabodi, Akizungumza kwenye mahojiano ya live kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na kituo cha TV cha Clouds TV, akizungumzia kuhusu ndege mpya za Bombadier, (Wakati Rais Magufuli akizizindua, rais alisema ndege hizo ni mpya kabisa na zimenunuliwa kwa direct sale kutoka kiwandani, bila...www.jamiiforums.com Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
Wanabodi, Japo bandiko hili liko addressed kwa Mhe. Zitto, lakini hoja zake ni kwa Wapinzani wote, namuelekezea Zitto Kabwe kwa sababu kwa maoni yangu ndio mpinzani pekee kwa sasa anayeweza kusimama na rais Magufuli 2020, na Magufuli akahisi kijoto joto japo kwa mbali. Ni kwa muda mrefu...www.jamiiforums.com Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
Wanabodi, Huu ni muswada wa makala ya gazeti. Nimepata fursa kuendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi Ya Taifa", ambazo ni makala elimishi katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa lengo la kulisaidia taifa letu lisonge mbele. Makala ya leo inazungumzia kazi ya vyama vya upinzani...www.jamiiforums.com Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!
Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani!. Hii karma wakati wa kuhukumu, haina huruma kwa sababu hukumu zake ni za haki, unaweza kulipa mema, au kupigwa na mapigo ya kufidia uovu!. Karma ni powers of 'cause and effects' ambapo...www.jamiiforums.com Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!.
... Inakaribia Kupasuka!. Preamble: Mimi ni supporter wa ZZK kwenye urais 2015, ila kwa jinsi hii ngoma inavyovurumishwa na kuzidi kutoa mlio mkubwa humu jf, hii ni ishara mbaya kuwa hii ngoma inakaribia kupasuka!. ZZK: Namkubali sana tuu ila natatizwa na determination yake ya kuwa a "dare...www.jamiiforums.com PZitto, Shika lako, ya wengine waachie wenyewe! Epuka kumtaja Lowassa kwa ubaya!
Wanabodi, Kwanza naomba ku declare my interest, kuwa japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, sio mshabiki wa mtu yoyote, sio mfuasi wa mtu yoyote, Ila kuna watu ninaowakubali sana kwenye siasa za Tanzania, na miongoni mwao ni Zitto Zuberi Kabwe na Edward Lowassa. Leo nimemsikia Zitto...www.jamiiforums.com
Mkuu Nas Jr , kwanza nakiri, the dividing line btn Pasco Kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM, na Pasco Mzalendo wa kweli wa taifa hili, is very thin.Braza Pascal Mayalla tunakutofautishaje na u-sisiemu wako...
Tunatenganisha vipi mabandiko yako na ukada wa chama cha mapinduzi,, Je tutumie historia yako ya nyuma au tuzingatie lipi hasa kujua hili andiko halina ukada ndani yake na hili lina ukada ndani yake....!! Ni wakati gani unafanya kazi za kichama na wakati gani unakuwa kitaifa...
Nauliza kwa vile 93% ya wana sisiemu wao huwa wanasifia almost everything cha mwenyekiti...Mna njaa NDIO, Mmekula NDIO, tunafuta tozo NDIO, tunarudisha tozo NDIO, tunafuta Bunge Live NDIO, tunarudisha Live NDIO...
Hii ni nje ya mada kidogo....
Nilichojifunza hapa kuna watu wana elimu ya kawaida sana lakini michango yao ktk taifa ni zaidi ya maprofesa. Msukuma yuko vizuri ktk michango isiyohusisha ushindani wa siasa.Mbunge wa Geita vijijini Msukuma asema mafuta yaliyopanda yalinunuliwa mwezi wa February 2022 kwa bei ya chini na yamepanda yakiwa ndani ya meli.
Hii ni harufu ya ufisadi ambayo inahitaji kuchunguzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me, Wabunge wa CCM wa mwendazake Hawawezi kujadili na wakaja na kitu tanukisikgible. Trust me. Wakenya wanafanya kwa vitendo wao wanarukaruka tu
hawa ndio viongozi,sisi tuna viwongozi
hawa ndio viongozi sisi kwetu tuna viwongoziTrust me, Wabunge wa CCM wa mwendazake Hawawezi kujadili na wakaja na kitu tangible. Trust me. Wakenya wanafanya kwa vitendo wao wanarukaruka tu
View attachment 2212232
Acheni chokochoko nyie wapemba. Kuleni urojo mkalaleJapo huku Unguja tunapeta nilitaka kujua huko bara tozo 22 zilizopo kila unaponunua Lita 1 ya mafuta (petrol, diesel, kerosene) Tanzania bara ni zipi? Binafsi najua Ile "Road fund" tu. Karibuni Zanzibar.
Shehe Juma mbona ashk?Acheni chokochoko nyie wapemba. Kuleni urojo mkalale