Braza
Pascal Mayalla tunakutofautishaje na u-sisiemu wako...
Tunatenganisha vipi mabandiko yako na ukada wa chama cha mapinduzi,, Je tutumie historia yako ya nyuma au tuzingatie lipi hasa kujua hili andiko halina ukada ndani yake na hili lina ukada ndani yake....!! Ni wakati gani unafanya kazi za kichama na wakati gani unakuwa kitaifa...
Nauliza kwa vile 93% ya wana sisiemu wao huwa wanasifia almost everything cha mwenyekiti...Mna njaa NDIO, Mmekula NDIO, tunafuta tozo NDIO, tunarudisha tozo NDIO, tunafuta
Bunge Live NDIO, tunarudisha
Live NDIO...
Hii ni nje ya mada kidogo....