Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Si uangalie huko Live!Watafanya nini,
Je wanayo meno?
Nusu ya wabunge fake wana petrol station zao za kutosha na mabasiYes Shigongo nae ana kampuni yake inaitwa Shigongo fuel Company
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chuki iliyopo kwa huyu maza sijui 2025 atakavyopigwa live na MboweKumbe jambo likila upande wao wanatokwa povu? Ila wengine wakiumizwa miaka na miaka wanagonga meza tu na kusaini posho!!!
Waitara ni kichaaKuna huyu mlevi Waitara kasimsms tumsikilize, walevi wengi huwa wana busara.
Mama anapiga mpaka 2030 usijiumize nafsi yako bila sababu.Chuki iliyopo kwa huyu maza sijui 2025 atakavyopigwa live na Mbowe
Labda atachaguliwa na mumeoMama anapiga mpaka 2030 usijiumize nafsi yako bila sababu.
Hata ukinidhihaki ila ukweli ni kwamba uchaguzi wa mwaka 2025, umeshaisha tunakwenda kuchaguwa wabunge tu.Labda atachaguliwa na mumeo
Kasemaje?Kuna huyu mlevi Waitara kasimsms tumsikilize, walevi wengi huwa wana busara.
Baki na mawazo yako ya kijinga, wenye nchi ni wananchi wakiamua hana la kufanyaHata ukinidhihaki ila ukweli ni kwamba uchaguzi wa mwaka 2025, umeshaisha tunakwenda kuchaguwa wabunge tu.
Wenye akili timamu wote wanalijuwa hili hakuna mwenyewe jeuri ya kumuondowa sitting president huku vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yake na vinamtii.
View attachment 2212261
Hakuna namna wataondoa tozo zote za mafuta.Watafanya nini,
Je wanayo meno?
Hoja ya msingi aliyoitoa huyo Mbunge, ni kuwa ni kwanini Serikali yetu inaendelea kuweka makodi kibao kwenye mafuta hayo ya PetroliLeo May 5, mbunge Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta.
Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na Tanzania nzima kelele ni suala la mafuta na Bunge linalo wajibu mkubwa wa kuisimamia Serikali katika jambo husika.
Kigua amesema anaamini Serikali ya Tanzania itafanya jambo kama ambavyo Serikali nyingine duniani zinavyochukua hatua kwasababu wananchi hawawezi kulalamika halafu Serikali isichukue hatua yoyote.
Spika Tulia amesema pamoja na kwamba Waziri Mkuu ameshachukua kutua, hoja hiyo ambayo imeungwa mkono na wabunge wengi itajadiliwa na wabunge kama kazi yao ya kuishauri Serikali ifanye nini kwenye jambo husika.
MUSUKUMA
Mbunge Joseph Kasheku amemshukuru Spika kwa kukubali kuwasikiliza na amesema kwa wao wanaotoka majimbo ya vijijini na kununua mafuta kwenye vidumu wananunua 5,000 kwa lita.
Musukuma ameiomba Serikali ieleze ukweli kwani mafuta yaliyopanda juzi yamenunuliwa mwezi wa pili. Musukuma amesema wafanyabiashara yeye akiwa mmojawapo wanacheza na namba.
Musukuma amesema iliwahi kushuka bei ya korosho na Serikali ilipeleka Jeshi ku-rescue suala la korosho na mpaka leo hakuna mtu anachezea bei ya korosho kwasababu wanajua Serikali inaweza kuingia kuchukua biashara.
Musukuma amesema kuna kuna kodi ziliwekwa kodi za mafuta, iangaliwe namna ya kuziondoa kwa dharula ya miezi mitatu ili mafuta yarudi kuwa chini.
Musukuma amemaliza kwa kusema nchi inakubalika kukopa kimataifa na inakopa hivyo wakope kufidia gharama ili mafuta yaweze kushuka, hakuna mtanzania atamudu na kudai hata wabunge linawapiga kwasababu wanalipwa mileage za kwenda vijijini na ya kwake inaishia Shinyanga.
Musukuma: Mheshimiwa spika mimi pia ni msafirishaji, yaani kwasababu watanzania tuna nidhamu ya kuiheshimu Serikali na kuwapa muda, hebu jiulize msafirishaji aliyekuwa anapeleka abiria kwa shilingi 30,000 Mwanza, leo mafuta yamefika 3,400 nauli bado 30,000 Hili haliwezekani, tukubaliane tuishauri Serikali na ije na kauli nzuri.
Watunga sera ndiyo hao hao wafanyabiashara wakubwa wa mafutaTuliambiwa tuna zaidi ya sijui lita ngapi huko na kiparangoto; matumizi ya mafuta kwa nchi nzima kwa siku ni kiasi gani ili tu-kalikuleti kuona kama kweli bei mpya inapaswa kuanza!
Pili, kile kilichokuwa kinaifanya bei ya mafuta kwa TZ iwe juu kuliko nchi karibia zote ziliyoizunguka ni nini? Kwanini wasianze na hiyo kwanza?
Tatu, wale waTz wachache walioifadhili movie ya Royo Tua, kwanini wasishawishiwe kuleta shehena yao kizalendo kabisa kuisaidia nchi?
Nne, zile tozo zimefikia wapi? Zinafanya nini? Madarasa 15,000 bado hayajakamilika? Kule kwa Nape kuna shule ya udongo, inatisha, hawajaiona? Tozo za simu ziende ku-subsdize huko.
Tano, hii biashara ya mafuta hawamo?
Sita, Jambo letu ni lini na kwa kiasi gani? Tumeshaona wenzetu walivyofanya, sisi je?