Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanatuumiza snHakuna namna wataondoa tozo zote za mafuta.
Lazima bei ishuke very soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatuumiza snHakuna namna wataondoa tozo zote za mafuta.
Lazima bei ishuke very soon
Wacha tufuatilie bunge, unaota vitu havipo.Baki na mawazo yako ya kijinga, wenye nchi ni wananchi wakiamua hana la kufanya
Sawa BashiteWacha tufuatilie bunge, unaota vitu havipo.
Watapata tabu sana by Muroto.
Sh ngapi .?Haya mabasi ya Shabiby yamepanda bei.
Unategemea Shabiby atatetea mwananchi yoyote?Haya mabasi ya Shabiby yamepanda bei.
Pia siku za kukaa bungeni zipunguzwe kwa 90%Simple solution
Kama Kufunga Mikanda TUFUNGE WOTE
Mama Punguza mishahara ya hao WABUNGE 75% asiyetaka AVUWE VIATU
Wameingia anga zako automatically
Kwani hizo V8 zao zinakula mtori bwashee?Hakika, inasikitisha sana, kumbe nao limewagusa...
Wao sii wanajionaga wanachota tu pesa na kufunika hasara...Kwani hizo V8 zao zinakula mtori bwashee?
Stella manyanya ni mhandisi mbobezi. Ni electrical engineer wa ukweli. Usichukulie poaHawa wabunge wengine kama Stela Manyanya wangekosa ubunge wangekuwa mashangingi tu mitaani.
Manyanya ana cha kumzidi Kambona?Stella manyanya ni mhandisi mbobezi. Ni electrical engineer wa ukweli. Usichukulie poa
Labda ungesema akina Cathy magige, Agnes marwa and the likes.....