Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei
Simple solution

Kama Kufunga Mikanda TUFUNGE WOTE

Mama Punguza mishahara ya hao WABUNGE 75% asiyetaka AVUWE VIATU

Wameingia anga zako automatically

Agenda zao CHAFU watazipitishia kwenye hili TATIZO

Kama ni furushi la siafu TULIBEBE WOTE
 
Hakika, inasikitisha sana, kumbe nao limewagusa...
 
Hawa wabunge wengine kama Stela Manyanya wangekosa ubunge wangekuwa mashangingi tu mitaani.
Stella manyanya ni mhandisi mbobezi. Ni electrical engineer wa ukweli. Usichukulie poa

Labda ungesema akina Cathy magige, Agnes marwa and the likes.....
 
Mbunge anapendekeza Kodi Mpya ya Viewers Tv Licence [emoji3][emoji3][emoji3]
.
Sema Jamaa inaonekana ni mchumi Mzuri sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Stella manyanya ni mhandisi mbobezi. Ni electrical engineer wa ukweli. Usichukulie poa

Labda ungesema akina Cathy magige, Agnes marwa and the likes.....
Manyanya ana cha kumzidi Kambona?

FHb_m5cWUAM6cVb.jpg
 
Back
Top Bottom