Msukuma atakuwa na hoja ya msingiMbunge wa Geita vijijini Msukuma asema mafuta yaliyopanda yalinunuliwa mwezi wa February 2022 kwa bei ya chini na yamepanda yakiwa ndani ya meli...Hii ni harufu ya ufisadi ambayo inahitaji kuchunguzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upuuzi ni upi katika post yangu?. Halafu ujue naelekea 60, sasa nitafute uteuzi for what?!Pascal, achΓ upuuzi wako. Andika sense . Uteuzi hakuna
Maza ako ndiyo analinganishaF
Usije ukalinganisha Marekani na Tanzania kwa namba yoyote ile.
Mnajua kikombe Cha kahawa Marekani kinauzwaje? Mnafahamu Bei ya kupanga nyumba au chumba Marekani ni Bei gani? Hakuna gesti ya elfu kumi na tano kule.
NakaziaWatafanya nini,
Je wanayo meno?
Mkuu mbona picha umeipiga kwa wasiwasi, utasema kipindi kile cha maandamano ya mange
Tuwe wakweli, Dr. Tulia ameonyesha uwezo. Anastahili Big Up.Pascal hamna kitu hizo Ni drama tu. Tulia Ni dhaifu, Ni Bora Spika Kama Ndugai. Huyu aliokotwa kwa fadhiri na Jiwe toka ofisi ya Ag na kupewa shukrani ( baada ya kutetea kesi ya wakurugenzi kuwa wasimamiziwa uchaguzi ). Huyu Ni zao la Rais ambaye ana unlimited powers ambazo zinamfanya kuwateuΓ watu Kama Tulia kuzawadiwa vyeo. Hawezi kuisimamia serikali, hizi Ni drama tu. Rubbish of the highest degree
Tozo mbili za fuel levy na exercise duty kwa pamoja zinachangia Tshs 792, waziri au Serikali waangalie ni namna gani tutatoka, tunajua umuhimu wa tozo za ujenzi wa mabarabara na maji hizo zibaki lakini nyingine tunaweza kupunguza matumizi ya Serikali tukaenda kuboresha maslahi ya watanzania
You made my day sonHawana Ni drama tu. Tulia alipewa vyeo Kama zawasi, she can effect no nothing!
Sasa lina Meno.Tatizo Bunge ni kibogoyo!
Duh...!. Kwa hiyo siku hizi ni kila ukisifu jambo lolote, ni unatafuta uteuzi?!.wewe uteuzi unakusumbua, hakuna lolote amefanya zaid ya kuwapiga beat waheshimiwa wabunge kutomtaja raisi.
Huu sasa ndio mwanzo.Mkuu Paskali, ni mapema mno kufanya conclusion kwamba Dr. Tulia ni spika makini, kwa hili tu suala la Bunge kujadili suala la bei ya mafuta, kitu ambacho ni uamuzi ambao ni routine na common sense. Hata huyu Bora Spika angefanya hivyo hivyo na isingemfutia u-Bora Spika wake.
Wanasayansi wanasema, ili uweze kutengeneza trendline, unahitaji angalau point tatu. Tangu awe Spika, unaweza kutuambia ni mambo gani angalau matatu Dr. Tulia amefanya yatakayotuonyehsa yeye ni Spika makini?
Only time will tell kama kweli Dr. Tulia ni Spika makini au trend ni ileile aliyokuwa nayo chini ya Raisi Magufuli ya kutaka kumfurahisha Raisi
Ukifika 60 bila ya kupata teuzi utaishije PascalNakwenda 60s, nitafute teuzi for what?!.
P
Kuna watu wa ajabu sana, EWURA nao pia...π
KafungukaView attachment 2212275
HahahaMkuu mbona picha umeipiga kwa wasiwasi, utasema kipindi kile cha maandamano ya mange
Huyu home boy ANALAZIMISHA UTEUZI KWA MAPAMBIO YA KUFA MTPascal, achΓ upuuzi wako. Andika sense . Uteuzi hakuna
Tuwe wakweli, Dr. Tulia ameonyesha uwezo. Anastahili Big Up.
P
πππLabda atachaguliwa na mumeo
Hatari snπππ