Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei
F
Usije ukalinganisha Marekani na Tanzania kwa namba yoyote ile.
Mnajua kikombe Cha kahawa Marekani kinauzwaje? Mnafahamu Bei ya kupanga nyumba au chumba Marekani ni Bei gani? Hakuna gesti ya elfu kumi na tano kule.
Maza ako ndiyo analinganisha
 
Nakaziaaaa

Ova
20220505_112104.jpg
 
Pascal hamna kitu hizo Ni drama tu. Tulia Ni dhaifu, Ni Bora Spika Kama Ndugai. Huyu aliokotwa kwa fadhiri na Jiwe toka ofisi ya Ag na kupewa shukrani ( baada ya kutetea kesi ya wakurugenzi kuwa wasimamiziwa uchaguzi ). Huyu Ni zao la Rais ambaye ana unlimited powers ambazo zinamfanya kuwateuà watu Kama Tulia kuzawadiwa vyeo. Hawezi kuisimamia serikali, hizi Ni drama tu. Rubbish of the highest degree
Tuwe wakweli, Dr. Tulia ameonyesha uwezo. Anastahili Big Up.
P
 
Tozo mbili za fuel levy na exercise duty kwa pamoja zinachangia Tshs 792, waziri au Serikali waangalie ni namna gani tutatoka, tunajua umuhimu wa tozo za ujenzi wa mabarabara na maji hizo zibaki lakini nyingine tunaweza kupunguza matumizi ya Serikali tukaenda kuboresha maslahi ya watanzania
thinkstupid.png
 
Mkuu Paskali, ni mapema mno kufanya conclusion kwamba Dr. Tulia ni spika makini, kwa hili tu suala la Bunge kujadili suala la bei ya mafuta, kitu ambacho ni uamuzi ambao ni routine na common sense. Hata huyu Bora Spika angefanya hivyo hivyo na isingemfutia u-Bora Spika wake.

Wanasayansi wanasema, ili uweze kutengeneza trendline, unahitaji angalau point tatu. Tangu awe Spika, unaweza kutuambia ni mambo gani angalau matatu Dr. Tulia amefanya yatakayotuonyehsa yeye ni Spika makini?

Only time will tell kama kweli Dr. Tulia ni Spika makini au trend ni ileile aliyokuwa nayo chini ya Raisi Magufuli ya kutaka kumfurahisha Raisi
Huu sasa ndio mwanzo.
P
 
Tuwe wakweli, Dr. Tulia ameonyesha uwezo. Anastahili Big Up.
P

Pasco wakati mwengine hueleweki sijui ni kwa vile ni mtoto wa Baba na Mama ambao ni fly. Suala la bei za mafuta lina muda wa kutosha tangu lianze. Mh Spika kuiombea serikali ipewe muda ni kuonesha kutokua makini kwake na hiyo serikali anayo iombea. Serikali ilitakiwa iwe na majibu ya kushughulikia bei za mafuta kitambo kirefu huko nyuma. Nguvu zina elekezwa kupambana na marehemu na RT matokeo yake ndio haya.
 
ktk vitu sijawahi kufuatilia toka mwanzo hii ripoti ya sijui cag

hivi ina umuhimu gani hasa ?
 
Back
Top Bottom