Mkuu Paskali, ni mapema mno kufanya conclusion kwamba Dr. Tulia ni spika makini, kwa hili tu suala la Bunge kujadili suala la bei ya mafuta, kitu ambacho ni uamuzi ambao ni routine na common sense. Hata huyu Bora Spika angefanya hivyo hivyo na isingemfutia u-Bora Spika wake.
Wanasayansi wanasema, ili uweze kutengeneza trendline, unahitaji angalau point tatu. Tangu awe Spika, unaweza kutuambia ni mambo gani angalau matatu Dr. Tulia amefanya yatakayotuonyehsa yeye ni Spika makini?
Only time will tell kama kweli Dr. Tulia ni Spika makini au trend ni ileile aliyokuwa nayo chini ya Raisi Magufuli ya kutaka kumfurahisha Raisi