Bungeni: Musukuma amvaa Luhaga Mpina kwa kueneza uzushi wa Bwawa la Umeme la Nyerere

Ukisema hakuna mtendaji wa vitendo kama JPM nitakuona hazikutoshi..

Unaweza nipa Takwimu za mwaka mmja wa JPM na Mwaka mmja wa Samia turinganishe matokeo maana kauli za kijinga huwa sipendi.
 
Ndio aina ya siasa zake

Msukuma ana confidence akichangia hata mambo ya kitaaluma kuliko wana taaluma wenyewe

Usishangae Msukuma akiwa anachangia mambo ya Geology akawa na confidence kuliko Prof Muhongo
msukuma aliwahi kuwa mfanyabiashara & mtumiaji mkubwa wa marijuana kwa hiyo confidence ni lazima kwa sababu ule mmea huwa una katabia ka kuwapatia watumiaji wake misimamo


"labda kwenye ganja kidogo nilikuwemo ndio maana mpaka leo bado inanipa misimamo" Sugu
 
ile hoja ya Mpina kwamba Makamba ni muhujumu uchumi mpaka leo sijaona ikijibiwa, naona chawa wa mama mnatupigia kelele tu hapa.
Kwa hiyo yeye peke yake ndio kaona Makamba anahujumu uchumi sio?

Ehee tueleze alieleza Makamba anahujumu vipi uchumi mkuu?

Sometimes unaweza mpuuzi mpumbavu hadi avuke mstari wa uvumilovu.
 
Nikafikiri amekuja na hoja... Kumbe anatetea mali zake binafsi!
 
Maisha bana sasa wamebaki wenyewe wanakulana , na ukitaka kujua malipo ni hapa hapa duniani angalia leo Kimbunga Jobo cha kule mpwapwa kinauliziwa wala hakijulikani kilipo baada ya kuandikishwa barua ya kujiudhulu kwa lazima. Wanaita what goes orround comes arround , tutaelewana tu ,ipo siku.
 
Waache kutuhadaa washamba hawa walioibaka demokrasia 2020
 
Kwa hiyo yeye peke yake ndio kaona Makamba anahujumu uchumi sio?

Ehee tueleze alieleza Makamba anahujumu vipi uchumi mkuu?

Sometimes unaweza mpuuzi mpumbavu hadi avuke mstari wa uvumilovu.
Alisema Makamba ameisababishia serikali hasara ya bilioni 30 kwa uamuzi wake wa kuondoa shilingi 100 kwenye tozo za mafuta zilizopitishwa na bunge.

Hivyo Makamba ni muhujumu uchumi.

Jibuni hii hoja.
 
Mpina anwapiga pini hadi mnalialia tu , report ya CAG inasema kuwa bwawa liko 41% na lilipaswa kuwa 86% mwaka jana. Wewe unaletamavi yako hapa


USSR
Magufuli aliliacha na asilimia ngapi?
Je wakati Magufuli anafariki lilikuwa katika asilimia zilizotarajiwa katika utekelezaji?
 

Siyo crip bali ni clip kama ulitaka kumaanisha sehemu ya video!
 
Msukuma nyanoko,nkong'waa nzoka,kaching'we mhela,nimegundua msukuma kumbe ni njaa,waliokupa digrii hawakujua kumbe una mavi kichwani?
 
Strategy ilizaa matunda hii, samaki waliongezeka hadi leo, hatuji mbeleni. Comrade, Sheria ziko wazi kuhusu urefu wa samaki anayetakiwa kuvuliwa.
Kwahiyo unampima samaki aliyepikwa😫😫
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…