Bungeni: Musukuma amvaa Luhaga Mpina kwa kueneza uzushi wa Bwawa la Umeme la Nyerere

Halafu kwako unafikiri hiyo picha ni tusi. Jifunze methali pia
 
Akikuwa muongo sana na mpenda sifa zisizo na maana, mbinafsi na majivuni. Kikwete alijenga miundombinu chini ya mawaziri wote wakiokuwepo na simply kwasababu miundombinu ndio ilikuwa tatizo kubwa la nchi hivyo fedha nyingi alikuwa akipeleka huko. Mbona hakuna la maana alipopelekwa mifugo na uvuvi au ardhi. Msimpe sifa zisizo mstahili. He's just an ordinary man.
 
Mpina anwapiga pini hadi mnalialia tu , report ya CAG inasema kuwa bwawa liko 41% na lilipaswa kuwa 86% mwaka jana. Wewe unaletamavi yako hapa


USSR
Ashabanwa huyo

Chezea kingine na sio ccm maana inawenyewe
 
Luhaga Mpina ni mpumbavu sana, anaongozwa na tamaa ya madaraka
 
Yumkini hukuelewa nilichoandika. Kuna wapiga manyanga wanadai Bwawa lilipaswa lifike 86% mwaka jana na kwamba lilikuwa zaidi ya 50%. Sasa nawauliza, kama Bwawa waliaminishwa limefika zaidi ya 50% huko nyuma iweje mwaka baadaye ujenzi uripotiwe umefikia 41. That means Mwendazake alikuwa anaongoza nchi kea fix nyingi ila matanzania vichwa maji ndio maana walimuelewa. Hakika Mungu analipenda Taifa la Tanzania.
 
Hiyo Mpina anamshambulia Rais SSH kwa kujifanya anamkosoa Makamba. Kwa kifupi Makamba anaangushiwa jumba bovu kwa niaba ya bosi wake aliyemteua.

Msukuma amemuwahi Mpina mapema sana, kwani hata kama Makamba leo hii ataondolewa hautakuwa mwisho wa mashambulizi.

Zengwe litahamia kwa Nape Nnauye, ni siasa za nyuma ya pazia.

Huyu Ngosha ana roho mbaya na hata Marehemu Magufuli alishamgundua akaamua kumpotezea baada ya kumsoma vizuri.
 
Mpina anwapiga pini hadi mnalialia tu , report ya CAG inasema kuwa bwawa liko 41% na lilipaswa kuwa 86% mwaka jana. Wewe unaletamavi yako hapa


USSR
hahahaaaa mnasahau kwamba report ya CAG mnayoongelea ni ya karibu miaka miwili nyuma, msukuma anaongelea hali halisi iliyopo leo!!!!
 
Aka kajamaa ni kanafki tu sijawah kukaelewa kakiguswa kidogo tu lazima kajitokeze kusaga kunguni
 
hilo bwawa hata mlevi anajua kuwa màgufool mwenyewe asingeweza kulikamilisha kwa wakati kwa jinsi alivyobanwa pumbu na mabeberu
Magufuli alitaka sana hili bwawa limalizike haraka iwezekanavyo.Lakini alikwama au angekwama kwa sababu nyingi tu.
1.Nchi za magharibi ikiwemo Germany haikutaka mradi huo kwa sababu za uharibifu wa mazingira,wao wakitaka atumie gesi asilia inayopatikana nchini kwa wingi.
2.Mikopo nafuu kutoka nchi za Magharibi isingewezekana kwa sababu ya no.1
3.Maandalizi ya kujenga bwawa hayakujitosheleza yaliacha loopholes nyingi ambazo baadae zimechelewesha mradi kukamilika kama ilivyopangwa I.e kukosekana kwa emergency power supply incase of black out,Logistics.
4.Competency ya Main Contractor ambaye ni Arab Contractors inatia shaka sana.
5.Corona Epidemic
6.Poor coordination kati ya Contractor, TANESCO na serikali.
7.Kuna wakati propaganda zilitumika kusifia speed ya mradi wakati haikuwa kweli.
8.Ukata,serikali ilishindwa kutenga fedha za kutosha ili kumaliza huu mradi kwa muda uliokusudiwa.
 
ile hoja ya Mpina kwamba Makamba ni muhujumu uchumi ameisababishia serikali hasara ya bil 30 mpaka leo sijaona ikijibiwa, naona chawa wa mama mnatupigia kelele tu hapa.
Na wewe kwa akili yako unaamini Makamba kasababisha iyo hasara? Utakuwa huna elimu kabisa
 
Akikuwa muongo sana na mpenda sifa zisizo na maana, mbinafsi na majivuni.
Nani huyo?
Kikwete alijenga miundombinu chini ya mawaziri wote
Mawaziri wote wanajenga miuondombinu?
wakiokuwepo na simply kwasababu miundombinu ndio ilikuwa tatizo kubwa la nchi hivyo fedha nyingi alikuwa akipeleka huko.
kwa mawaziri wote?
Mbona hakuna la maana alipopelekwa mifugo na uvuvi au ardhi. Msimpe sifa zisizo mstahili. He's just an ordinary man.
Waulize wavuvi wa Tuna fish!
 
Waulize wavuvi wa Tuna fish!
Shida yenu wabheja ni ushamba na ujinga.
1. Nani: Mwendazake
2. Mawaziri wote waliohudumu kwenye kwenye Wizara inayohisika na ujenzi
Akiwa uvuvi alitumia nguvu nyingi bila sababu kiasi cha kuisababishia serikali hasara mara nyingi tu. Ukitaka kujua zipi njoo inbox nikueleze maana nyingine zinagusa mamlaka nyingine.
 
Wacha aongee ukweli
 
Mpina anwapiga pini hadi mnalialia tu , report ya CAG inasema kuwa bwawa liko 41% na lilipaswa kuwa 86% mwaka jana. Wewe unaletamavi yako hapa


USSR
Hivi nani huwa anamchunguza CAG?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…