BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,359
Reaction score
2,389
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie


Ushauri

  • Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
  • Chief whip wa upinzani must act also
  • Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
  • Police must act on this
  • Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
  • Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
  • Watu wa Kigoma wamkatae huyu mtukanaji
  • anti drugs pia waangalie huenda matumizi ya kile kijani kibichi yapo ikiwezekana waweke mbwa mnusaji mlangoni
  • Order for madaktari wa Mirembe kufanya medical Examination,huenda si yeye!
  • 2015 marufuku kupata kura hata ya mkewe



Jamani sasa bunge liwe rated 18, nimemsikia serukamba bila chenga akisema "come on fu**k you'. Tunakwenda wapi. Hii sasa imevuka mipaka, wananchi tuwawajibishe watu kama hawa, wanatufunza nini.


Sikiliza AUDIO kwa kutembelea hapa:
Your browser is not able to display this video.

 
Mh. Serukamba mbunge wa CCM wamewdiriki kuseme neno '---- YOU' akiwa anawakatisha wabunge waliokuwa wakiingilia maongezi yake alipokua akichangia hoja juu ya swala la kesi ya rwakatale kujadiliwa bungeni.
Tusi hili la kiingereza limesikika vema na pia nina uhakika mda sio mrefu tutapata video yake dunia ijionee jinsi viongozi wetu wa taifa wanavyotukana kwenye chombo muhimu kama bunge tena hii ameongea lugha ya kimataifa itaeleweka zaidi.

My take;
Wabunge wa CCM wamepanic wamekosa political tolerance wameanza kujivua nguo hadharani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Akitoa taarifa Bungeni mchana huu Mbunge Serukamba alisikika akiwaambia wabunge wa Upinzani "common fu.ck you" jee hii ni sawa wanabodi?
 
Nimeshangazwa sana na Serukamba,, amesema COME ON FU*K YOU...

Nilikuwa sijaangalia bunge 2013 na leo imetokea kwa bahati mbaya but sirudii tena kuangalia bunge. Mbaya zaidi kavaa suti na ni jana tu Spika alisema atawakamatisha polisi. Wapi tunaenda jamani mbunge mwenye zaidi ya miaka 7 bungeni kusema F*CK YOU bungeni
 
Jamaa kasema Come on ! ---- You !! Naibu spika kama hajasikia sisi wasikilizaji live tumesikia angekuwa wa upinzani,wasingezuga hawajaasikia!!
 
WanaJf,leo sa 6.30 asubuhi,kumetoka mambo ya ajabu sana ktk bunge . Kitendo cha bunge letu kuendelea kutumia lugha chafu si tu tutavumilia upuuze huu. Mh naibu spika, maana ya mh peter serukamba kutukania maneno F..uc -k--- YOU kwa wabunge wengine mbele ya kamera ya Tbc1 ndo nini jamani?tunajenga taifa la aina gani?wabunge woote kama hamtaacha upuuzi huu kwa kweli hatutavumilia sisi wananchi wenu. Rais wetu,bunge likishindikana,livunje kuanza upya si ujinga.
 
Yani sikuamini macho na masikio yangu afu awajasikia au ndo kupotezea daa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
JF........!
Hiyo ni baada ya mhe.Serukamba kusimama baada ya kuomba taarifa ambapo wabunge wa upinzani wakaanza kulalamika kwa spika Ndugai kuwa amempendelea kwa kumpa nafasi mara ya 2, amabpo kukamfanya Mhe.Peter serukamba wa kigoma mjini CCM kutamka neno "---- YOU" kwa jazba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…