BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

---- u too Serukamba.Halafu acting spika kapiga kimya.Ndugai hafai pale.Ingekuwa CDM angesema toka nje
 
Mwaka huu CCM lazima watumie mbinu zote kuinyamazisha CDM ila wasichokijua ni kwamba wanazidi kuwapandisha chati CDM......thank you Keep it up
 
Inawezekana hakufanya kwa bahati mbaya. Alikusudia. Ukweli ni kwamba magamba wanataka wapate sababu/uhalali wa kufungia vipindi vya bunge kuonyeshwa moja kwa moja kama walivyowahi ku-propose.
 
Hebu wataalam kizungu watusaidie kuliweka kwenye kiswahili sie wa shule za kata. Taratibu zinazingatiwa
 
Kumbe Naibu speaker kachuna kama hajasikia?
Labda hii kesi iamishiwe kwa wananchi tu!
 
Hawa wabunge wamekuwa kama vichaa wanashindwa kujenga hoja badala yake wameamua kutafuta umaarufu wa kipumbavu kwa kutumia lugha ya matusi ovyo
 
cha Kushangaza LUKUVI..alitulia pila jusema chochote.. .
tatizo bunge lime geuka sehemu ya kupambana na chadema....yani limekuwa sehemu kubwa ya kufanya kazi ya uwenezi.....
 
Mmmh, hivi spika si alisema atakayetukana atakamatwa na polisi, sasa huyu hajakamatwa bado?
 
Nimemsikia loh jamani tunakoelekea sio kuzuri . Nimeshangaa hata hakustopishwa , hii ni aibu . Lkn pengine hawa wabunge wa ccm ndivyo walivyo manake tunaka wawe wastaarabu kumbe tunadai kitu wasichokua nacho. Na kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kilichoujaza moyo wake.
 
Makinda yetu yatasema "mkuki kwa nguruwe" hatayachukulia kama matusi
 
Acha lionyeshwe live ili tupate nafasi ya kuamua.
Kufichaficha kubaya sana.
 
Funika kombe mwanaharam apite,alisema Filikunjombe,..tabia ya kulindana leo imedhihirika baada ya mbunge wa ccm kutukana live bila chenga bungeni na kiti kimemlinda..Je onyo alilotoa jana Spika ni nguvu ya soda au haliwalengi wabunge wa ccm...Nchi imeoza hatuna watu pale ni makoti ya suti
 
Dawa ya moto ni moto.

Woooh! Wooooh! Wooooooooh!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Wabunge waliotukanwa wamechelewesha jibu- F.U.C.K YOU TOO! Jicho kwa jicho.
 
noma kweli...hata mimi nimesika na tulikua wengi tu
unajua mbunge wa chadema huwa akisimama idadi ya watazamaji nayo inakua makini na kuongezeka
sasa kama wamekua addicted na kutukana inabidi wasubiri muda ambao atakua amesimama kilaza wa magamba hapo atakua amwpona kwani wafuatiliaji wanakua wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…