BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

let this happen to ccm member to prove the speaker's power and commitment kwa maneno yake ya jana.
anxiously waiting
 
Duh, jamani jamani ! serekamba na shule yoote uliyosoma unatoa mitusi namna hiyo?
 
Inaelekea polisi wako busy kukamata wauza MAJI NA KARANGA mjini; hawa waoza midomo (huwezi kuwa na maneno machafu sehemu ya heshima kiasi hiki kama domo lako halijaoza) wanatakiwa wakamwagiwe maji ya kuwasha!!!! So sad kuwa BUNGE linaanza kuwa kama KILABU CHA KOMONI!!!!
 
Hivi Ndugai hajisikii vibaya kila siku yeye ndiye anayesimamia vurugu na kuruhusu matusi bungeni?
 
Out for Sale....Ukiwahi unapata kumi bure.
attachment.php
 
Msaada kwa waale ki English utata mtupu: Tafsiri ya f...... you kwa kiswahili tafadhali?
 
Nilidhani spika mankinda tayari ameshamripotisha polisi kama alivyoahidi ama kwa vile ni m-ccm mwenziye. Pengine anasubiri hadi hapo atakapoingia bugi mchadema ndo amshikie bango la kumripotisha polisi.

Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie

Re: Mbunge Serukamba atukana tusi kali
Ushauri

  • Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
  • Chief whip wa upinzani must act also
  • Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
  • Police must act on this
  • Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
  • Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
  • Watu wa Kigoma wamkatae huyu mtukanaji
  • anti drugs pia waangalie huenda matumizi ya kile kijani kibichi yapo ikiwezekana waweke mbwa mnusaji mlangoni
  • Order for madaktari wa Mirembe kufanya medical Examination,huenda si yeye!
  • 2015 marufuku kupata kura hata ya mkewe







https://soundcloud.com/newsaddict/s...nt=http://soundcloud.com/newsaddict/serukamba
 
Duh, jamani jamani ! serekamba na shule yoote uliyosoma unatoa mitusi namna hiyo?

Kaka kusoma sio kustaarabika,inasaidia sana lakini ustaarabu ni jambo jingine pia
 
KILA MTU HUMU AKPI NA PASTE linki ya uzu huu kwa FEACEBOO WALL yake. Haki ya kupata TAARIFA.........
 
...wakuu mbona mnalalamika bila kujua mtego wa makinda !!?? Hivi huwezi kufikiri hii ni janja ya nyani kula indi bichi... Kwetu sisi tuliozoea kutega ndezi huwa tunaandaa mtego kwenye njia yake kisha tunamkurupusha,akipita tu tunae.. Maanayake ni hii, tamko la makinda lilikuwa mtego kwa wabunge wa chadema,kisha wanawachokoza maksudi,wakijibu mapigo tu wanashushiwa rungu la kichwa mpaka wanakaa chinii...chezea mamaaa makinda wewe...? Pale kwenye kiti anaendeshwa kama gari bovu na waliompa ubunge so lazima afuate kila analoagizwa. Wanaompeleka puta ni wagombea urais wa 2015 naye anataka kujihakikishia kesho yake......
 
hapo ni lugha, jaribu nenda kwa dictionary ---- you ni offensive word coz we should avoid it but it a word used to express anger and annoyance! English not swahili my friend.. and it depend on situation he spoke may be he was emotional.
 
Naunga mkono hoja hii!

Ndallo tayari sauti iko kwenye mtandao na hakika nimesikiliza mara sita ni kweli katukana vile alivyotukana,hakika katukana tena kwa sauti na kujiamini kama vile yuko kilabuni na wala hakuna anaemuona.lakini yote hii ni kwa sababu anauhakika hakuna wa kumfanya lolote hakuna wa kumchulia hatua maana Spika ni wa kwao,Naibu spika ni wa kwao,wabunge walio wengi kwa idadi ni wa maccm,unadhani nani atamfanya nini?hapa hukumu ni kwa wananchi nadhani the best way ni kutengeneza DVD inayoonyesha wakati akiwa bungeni na kisha kuisambaza na kuwaambia wananchi waangalie wabunge wenye akili ya kuku,maana kuku unaweza ukafukuza ndani atoke nje kiasha akikanyaga tu corridor anageuza tena kurudi ndani,safari hii unaweza hata ukampiga kwa kiatu lakini dakika mbili nyingi unaweza ukamuona anachungulia tena akitaka kuingia ndani,mfano huu wa kuku ndio uliotokea kwa Serukamba,Spika kakemea jana tu matusi leo yeye ametukana tusi la nguoni.huyu anastahili atengenezewe DVD na isambazwe nchi nzima na hasa jimbon kwake.kwa wale wataalamu think of that.Nashukuru kwa kutupia sauti nimerudia kwa uangalifu mkubwa ni kweli Serukamba ametukana matusi ya nguoni au kwa kuwa ni kwa kiinglishi litabaki kuwa sio tusi?au lina- sound vizuri kwa kuwa tusi ni kwa kiiglishi?
Mungu mkubwa nadhani angekuwa ni mbunge wa CDM sijui hali ingekuwaje.
 
noma kweli...hata mimi nimesika na tulikua wengi tu
unajua mbunge wa chadema huwa akisimama idadi ya watazamaji nayo inakua makini na kuongezeka
sasa kama wamekua addicted na kutukana inabidi wasubiri muda ambao atakua amesimama kilaza wa magamba hapo atakua amwpona kwani wafuatiliaji wanakua wachache
 
Nimeshangazwa sana na Serukamba,, amesema COME ON FU*K YOU...

Nilikuwa sijaangalia bunge 2013 na leo imetokea kwa bahati mbaya but sirudii tena kuangalia bunge. Mbaya zaidi kavaa suti na ni jana tu Spika alisema atawakamatisha polisi. Wapi tunaenda jamani mbunge mwenye zaidi ya miaka 7 bungeni kusema F*CK YOU bungeni
Tusubiri maana mama jana alisema mtu akitukana tu ataitiwa police na hataangalia chama. Sasa je anajeuri ya kuita police ktk hili?
 
Mimi nadhani sasa tulipofikia ndio wakati wa kusema basi!!! Hawa wabunge tumewatuma sisi walalahoi waende huko bungeni kutuwakilisha, hayo kweli ndiyo matakwa yetu. Wabunge wote mliomo humu ndani bila kujali vyama vyenu, chonde chonde muache matusi. ukikasirika, subiri upoe, ndio utoe hoja yako bila jazba na utasikilizwa. Kumbuka sisi wananchi wenu hatupendi matusi yenu, je mnataka kumfurahisha au kumnufaisha nani? Mie nimeapa kutompigia kura mbunge anayetoa matusi hata kama ni wa chama changu. WANANCHI NAWAOMBA TUSIFANYE MAKOSA TENA, BUSARA NI MUHIMU.
 
Back
Top Bottom