mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,481
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Nadhani hajui maana yake jamani....lugha za watu hizi!!!
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
...haaaahahhah !! da jf jf jf oooh mammmaaa !Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
mwingine akawaita wanawake ni wapumbaf,huku mwingine akisema serikali hii ya kipumbaf.kweli hali ni mbaya sana.Mtu anachangia hoja ya maana mwanasheria anamjibu.,achana nae maana akili ni nywele, juzi mwingne kasema wote mbwa,mi naongea na mwenye mbwa, mwingne akikosa hoja anasema ,..when men are speaking,boys should listen,cjui bungen waheshimiwa ma boy ni akina nan?mwingne eti kuna wabunge wana mimba zisizotarajiwa...mengi mengi sana. Hapa tukichuja yote sio tu itakuwa ze comedy bali twaweza kutengeneza video ya x toka bungeni.
Jamani wanabodi mi sifahamu kingreza ---- you maana yake nini? Naomba tafsiri rahisi ya kiswahili ili watanzania tujue katukana kweli ama neno la kizungu tu.
Pia |Mkuu English Learner anaweza kutusaidia maana yake...anayeweza kutafsiri hili neno "---- you" kwa kiswahili alilotamka huyu mbunge anisaidie..... dada white nisaidie
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
Re: Mbunge Serukamba atukana tusi kali
Ushauri
- Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
- Chief whip wa upinzani must act also
- Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
- Police must act on this
- Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
- Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
- Watu wa Kigoma wamkatae huyu mtukanaji
- anti drugs pia waangalie huenda matumizi ya kile kijani kibichi yapo ikiwezekana waweke mbwa mnusaji mlangoni
- Order for madaktari wa Mirembe kufanya medical Examination,huenda si yeye!
- 2015 marufuku kupata kura hata ya mkewe
https://soundcloud.com/newsaddict/s...nt=http://soundcloud.com/newsaddict/serukamba
Niliposikia Mb. Serukamba kasema hicho alichokisema nikita na mwanangu, kwanza nilijihisi kama nimepata stroke hivi, haraka nilizima king'amuzi changu ili mengine zaidi ya hayo ya Mb. Sarukamba yasije yakasikika zaidi!!!
Lakini kilichonishtua zaidi ni pale Mhe. Naibu Spika alivyolipotezea, maana nimeambiwa hakuchukua hatua yeyote kutokana na kauli hiyo.
Rai yangu kwa wana-JF, haya maswala ya matusi, kejeli na kashfa ndani ya bunge letu tukufu, sitaki kuamini kama ni misimamo ya chama chochote cha siasa, bali ni huruka ya mtu binafsi.
Nawasilisha.
Mkuu si unajua wa Kigoma ni untachable! Ametokea KIGOMA, ameaga kwao, atakae mfukuza bungeni, hata panya, hatoingia Bungeni...hahahhaaaIna maana bado yupo bungeni?