BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Hii ni mipango mahsusi ya ccm kwa wabunge wake watukane live ili wananchi wakubaliane nao kuhusu kutokuonyesha live bunge!! Mawazo yangu tu!!
 
Hawana hoja sasa wafanyaje?na wakitoka hapo wanakwenda kupongezana na kupewa vyeo kama mwigulu na wassira mtaji wa ccm kwa sasa nimatusi.
 
Namba ya spika bado ipo kwa watanzania?Ni vizuri kumtumia meseji ili akumbuke sentensi yake ya jana na tukio la leo.Inawezekana pia MATUSI yanaruhusiwa kwa wabunge wa CCM tu.Ni vizuri pia UPINZANI wajitahidi wasilipize kisasi kwa namna hii wabunge wa CCM watakuwa wanajivua nguo wenyewe wakija shtuka wamechelewa.

Rafiki zangu Sumu na the company leo hawatii neno.Wanasema Sema wewe KIAZI ni kisema mimi MUHOGO nitaambiwa muongo!
Yani huu ndo muda muafaka wa watanzania kutumia namba ya spika makinda kutuma msg na kumpigia simu kumsihi kuhusu uchafu huu unaofanywa na wabunge hawa wa ccm.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
aibu tupu hata kutazama bunge ukiwa na wazazi wako kwakweli
 
Baada ya kuona kustisha bunge kurushwa live kumepigwa vita, sasa wabunge wa CCM wamekuja kwa staili ya matusi ili wananchi wasiwe na hamu kabisa ya kuliangalia. Inasemekana Serukamba ndiye amekabidhiwa kuongoza mkakati huo, Chanzo maalumu kimemueleza Acha Uvivu.
Chanzo hicho kimesema Mwigulu Nchemba ndo alipendekeza halafu kikaungwa mkono na Spika.

This is called Abnormal Behaviour before death. And death involves the faiture of body organs to function properly. CCM is showing every signs of nearing death. FILIKUNJOMBE said only 10 ministries are active whch by early 2015 wl 'cripple'.
 
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
kutoka katika kamusi neno F.U.C.K ni a highly offensive term for an act of sexual intercoursetusi la kumuingilia m2 kimwili kwa ajili ya kudhalilisha achukuliwe hatua hii ni aibu kubwa mno amu kwa sababu ni wa kijani???
 
Bunge sio Bunge tena, nadhan tuwabadilishie jina, nashaur tuwaite;
1.WaPoMa {Wazee wa Posho na Matus}
2.Makhoba {Matus Kwanza, Hoja Badae}
3.WeHoU {Wenye Homa Uchaguz}

n.k
 
Cha msingi wapigane tuuuu....nna uhakika ccm watapigwa maana full obesity
 
Tatizo ni Naibu Spika. Kila akikalia kile kiti lazima avurunde, mbona Bi. Kiroboto huwa anakemea pale pale? Au Kutukana wapinzani inaruhusiwa na kanuni za bunge? It is more than enough

Huyu ndugai sijuuI mtumwa kiasi gaani..akili fuuuupi...s..h.e..nz
 
Jamani sasa bunge liwe rated 18, nimemsikia serukamba bila chenga akisema "come on fu**k you'. Tunakwenda wapi. Hii sasa imevuka mipaka, wananchi tuwawajibishe watu kama hawa, wanatufunza nini.

Tatizo kubwa la baadhi ya viongozi wetu ni uelewa mdogo. Wakati rais/mwenyekiti wa ccm alipowaambia kuwa nao wajibu mapigo wanadhani ni kurudisha matusi. Ukitukanwa na wewe ukaporomoshs matusi mara nyingi unaonekana wewe ndiye usiye na busara. Sasa chama tawala badala ya kuheshimika na kuonekana kina watu makini kinaonekana kama genge la wahuni na wazuta bangi.
 
Nadhani huu ni mpango mkakati wa kujustify bunge lisionyeshwe live....
 
HIVI mdimu alisema atawashughulikia kwa mkono wake viongoz na waandshi wangap atawapeleka uhamishoni kenya mleta mada tukumbushe
 
Huyo Ndugai na Makinda wasipochukua hatua kwa serukamba,Wananchi tuungane kuliwajibisha hili bunge,kwa kweli mm nimechoka kabisa.
Umesema Tanzania/watanzania tuungane hahaha bado sana ikitokea tukaunga kwa mbunge kutukana wakati tumishindwa kuunga la elimu, mabilioni yaliyoko nje ya nchi, maliasili zetu nitaomba Ban ya Mwenzi mmoja...
 
Ndio maana walitaka bunge lisionyeshwe live!!! maana hapo wange edit na ule mtambo na baadae tungesikia "come on Thank you"
 
Nimeona na kumsikia,mbunge wa kigoma mjini peter serukamba akitukana! shame on you naibu spika na wabunge wengine wa ccm, shame on you too chief whip (wa ccm) William lukuvi,all together kwa kujifanya kupotezea upuuzi wa mwenzenu na mbaya zaidi naibu spika alivyokuwa akiombwa muongozo akajifanya kusitisha bunge kwa ghafla!najaribu kufikiria angekuwa mbunge wa chadema ndo katusi sijui nini kingetokea?! hali hii ikiachwa hivyo bila huyu mbunge kuchukuliwa hatua kali basi tusishangae siku zijazo wabunge wakitoa matusi mazito sana kama M.S.E.N.G.E, U.N.A.F.I.R.W.A, K.U.M.A.M.A.K.O n.k na hili ndio bunge letu tunalotegemea litoe muongozo mzuri kwa serikali (ya ccm) inayoundwa na mawaziri wanaotokana na wabunge wa ccm kama peter serukamba! shame on you peter serukamba, job ndugai and ccm mp's. Huyu mbunge achukuliwe hatua kali sana na spika au naibu wake waache blah blah zao za kutaka ku-balance otherwise tutaendelea kuamini kuwa spika na naibu wake wako biased upande wa ccm.
 
Jamani wanabodi mi sifahamu kingreza ---- you maana yake nini? Naomba tafsiri rahisi ya kiswahili ili watanzania tujue katukana kweli ama neno la kizungu tu.
 
Back
Top Bottom