Mkosoaji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 363
- 41
WanaJf,leo sa 6.30 asubuhi,kumetoka mambo ya ajabu sana ktk bunge . Kitendo cha bunge letu kuendelea kutumia lugha chafu si tu tutavumilia upuuze huu. Mh naibu spika, maana ya mh peter serukamba kutukania maneno F..uc -k--- YOU kwa wabunge wengine mbele ya kamera ya Tbc1 ndo nini jamani?tunajenga taifa la aina gani?wabunge woote kama hamtaacha upuuzi huu kwa kweli hatutavumilia sisi wananchi wenu. Rais wetu,bunge likishindikana,livunje kuanza upya si ujinga.
Kikatiba bunge likivunjwa na Rais naye hana kazi.
Tunafanya uchaguzi upya.
