chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Ni kweli hapo
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Inawezekana kabisa kaka, lugha ya kiswahili ndiyo inayotumika bungeni!Au labda aliyetukana hajui kimombo akafikiri ametoa verse ya hipop!pengine alikuwa lecture ya matusi mchanganyiko usiku uliopita, yakawa yanamwasha ikabidi atukane kwa kimombo!Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Naunga mkono hoja hii!MODS,I am very much regretifully kwa kuliandika tusi hilo kama nilivyolisikia ni katika kuweka kumbukumbu sawa,for sure ametukana hivyo.Mods nivumilie tu hata hivyo imeniuma na kunishangaza sana kama jana tu imekemewa leo mtu anarudia tena kaenda mbali zaidi.du wakuu mwenye uwezo wa kutuwekea hiyo recorded atatusaidia kujua ukweli wa kile wengine tumekisikia mchana wa leo.