BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Huyu speaker na naibu wake mpaka siku watukaniwe mama zao ndiyo watachukulia hatua tabia hii.
 
Ingekuwa kwa nchi zilizostaraaribika kwa kutumia neno kali kama hili katika ukumbi muhimu kama Bunge wananchi wangeandamana kumtaka ajiuzulu, hata kabla hajachukuliwa hatua. Kwetu huku kila kitu ruhsa madamu tu uwe CCM!! We are doomed so long as we continue allowing this party to lead our dear country. Tunapaswa kuachana na kila kitu kwa sasa hivi tushughulikie kwanza kuwatoa hawa jamaa madarakani, ndio tuanze kufanya mambo mengine.
 
hapo ni lugha, jaribu nenda kwa dictionary ---- you ni offensive word coz we should avoid it but it a word used to express anger and annoyance! English not swahili my friend.. and it depend on situation he spoke may be he was emotional.

Kwenye dictionary gani mkuu,maana ziko nyingi lakini zote zinazungumzia msingi wa neno lenyewe,bado wanashauri kuliepuka kulitumia neno hilo,na ukiangalia ktk mgawanyo wake utakuta kabisa wameandika kwamba wana....kimsingi katukana wala tusianze kupoza kwa lugha hapa.
 
Hakika umenena vema,hili nimelishuhudia hata sehemu watu wanapokuwa wanagida bia zao huwa wanaziacha glass,kwa mafundi TV pia nimewahi kuliona hili mara kadhaa.ni kweli akisimama mbunge wa CDM kila mtu ana-pay attention kusikiliza na ndio maana hata leo wengi wamemsikia Serukamba na mitusi yake.
 
wapi mikwala ya spika anna makinda? eti ntatishia nyau. mtego wa panya umekamata mwenye nyumba. mia
 
Jamani naomba mkalimani/mods atafsiri kwa kiswahili maana ya fak yu sisi wengine hii lugha ya kikoloni hatuijui
 
Natoa oda ya tisheti 1000 nikagawe mjengoni
Nitakupatia na hii ukawagawie hao wabunge...nasikia siku hizi ukimtuma mtu aku-represent basi wewe unakuwa mwenye mbwa, na yeye anakuwa mbwa.

kwahiyo sisi tumewatuma wabunge bungeni, wao ni mbwa na sisi ni wenye hao mbwa.

Ushanifahamu?
 
Mkumbo ni kweli unachokisema,kuporomosha matusi kwenye jengo la heshima namna ile,kwa umuhimu wa jengo lile na kazi zinazotakiwa kufanywa na wabunge wawapo humo,leo mbunge anatukana mchana kweupe,nadhani ni kiburi cha kujua yeye ni mbunge kutoka chama tawala,lakini pia wana-take advantage ya namna watanzania walivyo,sasa hivi hivi hata ile jioni asingerudi bungeni maana angekutana na wanachi pale viwanja vya bunge na mabango wakimtaka ajihuzuru.lakini kwetu hapa mambo ndivyo yalivyo,inatia huzuni.lakini pia inaudhi sana
 
Wakuu naomba mnipe tafsiri nyepesi,ambayo nikiongea mbele ya jamii naweza kueleweka vizuri.

maana nikisema mbunge alitukana Fu..k you, wengine hawatanielewa pengine kuuliza maana yake kitu ambacho nisingependi kitokee...
 
Tukaneni wemgine muone wao hawakusikika ila nyie itakula kwenu
 
hawa jamaa hawajifunzi na kujua kuwa wanayoyasema yanawareflect wao. Mfano mbunge akiwa bungeni anaongea na kiti (spika) na sio mbunge mwenzake, hivyo kitendo cha kusema kuwa "siongei na mbwa..." ina maana maana Spika ndiye mwenye mbwa na wabunge wote ni mbwa. Sasa kama alivyosema Mh. Machali kuwa 'mimi sio mbwa" basi tusi ilo linamrudia aliyelisema.

Na huyu naye ukiangalia hilo tusi linamrudia yeye.


 
Nshakufahamu, kazi kweli kweli

Sasa hivi watoto marfuku kuangalia bunge

Nitakupatia na hii ukawagawie hao wabunge...nasikia siku hizi ukimtuma mtu aku-represent basi wewe unakuwa mwenye mbwa, na yeye anakuwa mbwa.

kwahiyo sisi tumewatuma wabunge bungeni, wao ni mbwa na sisi ni wenye hao mbwa.

Ushanifahamu?
 
 
mkuu kitila mkumbo, huo ndio ukweli wenyewe ULIOSEMA, lakini tatizo la sisi watanzania siyo watu wa vitendo, na ukiweka na njaa hizi (tumbo) na vijana wengi kukosa ajira ndio maana wako tayari kushupalia mambo yasiyo ya maana hata kwa kuhongwa ubwabwa, fulana, elfu 7, elfu hamsini. Huku mambo ya msingi kama haya wakiyapa kisogo
CC.. LUMUMBA TEAM( TASWIRA, WINGU, REJAO, RITZ, KATIBA MPYA, SUMU, STROKE.....) LEO HAWA VIJINA WATAKUFA NJAA HAWAJAPOSTI KITU HUMU... NAONA KIKOSI KAZI KINAPANGA MASHAMBULIZI YA LWAKATALE PART 100


View attachment 90329
 

Asante kwa maelezo mkuu. Atleast nimepata kitu, maana sikuangalia bunge leo.
 
Tunaomba vyombo vya habari waripoti hili jambo ili kila mwananchi ajue wabunge wa ccm vinara wa matusi bungeni na spika anawabeba 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…