BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Huyo Peter Serukamba si ndio msemaji wa fisadi Lowassa kwa sasa??? Huyu mzee watu wote waliomzunguka ni watu wa ajabu ajabu!
 
Hivi huyu si ndio Meneja kampeni wa EL?
 
Lazima tujifunze kuwa na ngozi ngumu.Neno huwa tusi kulingana na tafsiri yako.
 

kwa kuwa ni mbunge wa mjini kwake sio tusi ni kama kusema shut up. aidha amelewa fedha za mamvi.
 
Alishaomba radhi nafikiri hii hoja ishapitwa na wakati sana haya mambo ya kufuta vitu vidogo tutakuwa kama watu wamitaani hivi
 
Huyu jamaa huwa anaifurahisha sana lakini kwa hili daah, ni ishara tosha kuwa ethics kwa jamii yetu sheedah
 
Hiyo ilitokewa wakati wa msimu wa kunyweshana juice, ajaribu sasa aone Tulia atafanya nini.
 
Labda sio tusi au double standards
UKAWA mmefilisika Kinshasa.Mnataka kuleta kesi ya SERUKAMBA YA bunge la 2013 miaka mitatu iliyopita AJE TULIA NAIBU SPIKA AITOLEE MAAMUZI SASA?

Huo ulikuwa upuuzi wa bunge la wakati huo.Ulitakiwa ufanyiwe kazii huko huko miaka hiyo.Mnalinganisha vitu tofauti vya wakati tofauti.
 
Angetokea mbunge akaomba muongozo kwa kiti. Kusudi mtoa muongozo afute kauli. There after akikaidi shauri lipelekwe kwenye kamati ya maadili. Chungulia ibara ya 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…