BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Ina maana enz hizo kamat y maadili haikuwepo.. Au spika hakuwepo.. Viva serikal ya mwendokas
 
hivi serukamba alichukuliwaga hatua gani,binafsi nakumbuka liliisha juu kwa juu
 
Wanaukumbi

Katika binge lililopita Mbunge Peter Serukamba alitukana tusi lisiloandikika hapa.

Ingawa sins kumbukumbu kama aliitwa kuhojiwa na kamati yoyote ya bunge

Sasa hii ya kamati ya bunge kuwahoji Mdee na Mbowe sielewi pengine ni double standard.
 
Like father like son... Like vyeti Bashite anakingiwa kifua like Nurse kufungwa kwa kughushi vyeti!
 
Sioni kosa la mdee!!! Haya Spika wewe ni fala kweli kwa sababu unapindisha kanuni na sheria za bunge kwa maslahi ya chama chako!!! Nitumie polisi ndani ya masaa 24!!!
 
Hivi mkuu unatarajia maajabu gani toka kwa hawa vilaza wa CCM??
 
Sioni kosa la mdee!!! Haya Spika wewe ni fala kweli kwa sababu unapindisha kanuni na sheria za bunge kwa maslahi ya chama chako!!! Nitumie polisi ndani ya masaa 24!!!

Maadili ya wabunge unayajua?? Acheni kujijaza ujinga ukitukana laazima sheria ifwate mkondo wake mdee naona anapambana na harmorapa kwa kiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…