Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa mkuu umenena. Kwa nini kwenye serikali ya mseto hawajawaita CHADEMA? By the way, wabunge wote wa CUF toka pemba kiuwakilishi ni sawa na mbunge mmoja wa CHADEMA ie sawa na Sugu. Hivyo CHADEMA ina wabunge 23 na CUF ina wawili toka bara na mmoja toka Pemba.