Elections 2010 BUNGENI: Upinzani upo ndani ya kambi ya upinzani?

huyo chama huenda ni a graduated fool, GPA 1.8! critical reasoning 0! archaic thinking! mwacheni aendelee kulamba viatu vya mafisi-shume:doh:
 

Hapana Mkuu, Sugu yuko juu kachaguliwa na watu zaidi ya 46,000 na jimbo lake lina wapigakura zaidi ya 150, hao Wapemba wana wapiga kura wangapi!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…