"Tuna asilimia 12.5 ya wabunge na hiyo inatupa nafasi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni," alisema Mrema. Sasa swali sijui hawakujua kuwa asilimia 12.5 zao zingeweza kuwafanya washinde uspika? na hata wale CCM waliokuwa hawakufurahishwa na Anna Makinda kugombea waliona uroho wa chadema wa madaraka wakaona hawa wameshachuku KUB wakichukua na Uspika itakuwa balaa nadhani Chadema ni chama kinachoshabikia suala la uditekta wenye upeo wale ma great thinkers changieni bila unazi wa vyama.
CUF imeshachakachuliwa na CCM. Hao TLP, NCCR na UDP wamebaki majina tu na baadhi ya watu. Lakini sio vyama vyenye ushawishi tena Tanzania. Chadema wao wakaze buti wasiyumbushwe na hao wanaojitenga kwa sababu watajipendekeza wakiona mafanikio ya CHADEMA. Kwa sasa tuseme kwamba hao wameshanunuliwa na mafisadi ili kuigawa kambi ya upinzani. "They played very smart those shameful guys"
:smile-big: Hii post wanakuwa wanaipita kama kichaka kilichoshika moto!!" Tatizo ni mapenzi, yametuzidi mara nyingi hatuutazami ukweli bali kile tunachokitaka.:smile-big:"Tuna asilimia 12.5 ya wabunge na hiyo inatupa nafasi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni," alisema Mrema. Sasa swali sijui hawakujua kuwa asilimia 12.5 zao zingeweza kuwafanya washinde uspika? na hata wale CCM waliokuwa hawakufurahishwa na Anna Makinda kugombea waliona uroho wa chadema wa madaraka wakaona hawa wameshachuku KUB wakichukua na Uspika itakuwa balaa nadhani Chadema ni chama kinachoshabikia suala la uditekta wenye upeo wale ma great thinkers changieni bila unazi wa vyama.
Yaliyotokea ni haya hapa:
Kutoka ndani ya uvungu wao...
Walikaa Chadema na CUF ili waone wataingiaje Bungeni. Kabla ya Uchaguzi wa Spika, Hamad Rashid alitaka kugombea Uspika, Chadema wakamwambia hapana wacha Agombee huyu Mwanasheria, wewe utarudi katika kambi ya upinzani kwa cheo chako kile cha awali, na kwa kufanya hivyo tutagawana madaraka. Hamad akawakubalia na kuondoa azma yake ya kugombea U-Spika alipofanya hivyo, Zito akaibuka na kusema Wataunda kambi Chadema peke yake bila kushirikisha vyama vingine. hilo nalo. Hapo ndipo Marando alipozikosa kura ambazo zingemvusha kwenye Uspika. Na hii imefanyika kutokana na ufinyu wa fikra (kama sio viongozi waandamizi wa Chadema kupewa chochote toka CCM) wakidhani kwamba umaarufu unatokana na kuongoza kambi ya upinzani bungeni bila kuwa na ushirikiano kutoka vyama vingine. Walichokisahau Chadema ni kuwa CUF walijaribu kutoshirikisha vyama vingine awali na kisha wakajirekebisha, na hapo wasiomjua Slaa ndipo walipomtambua. Ila kwa kwa hili la ubinafsi wa CHADEMA wameumaliza UPINZANI Tanzania. Tutafute kaburi tuuzike...
Tusubiri kuundwa kwa chama kipya kisicho na damu ya U-CCM-CCM.:sad:
Nawasilisha.

Kwa upande wangu unaonekana mtu mzima uliyekosa akili, unafikiri kura 30 za CUF zingeweza kushindana na kura 250 za CCM.
CUF ni chama Tawala, taka usitake. NCCR, TLP,UDP hawana impact. kwahiyo chama cha upinzani ni CHADEMA, Chama tawala ni CCM+CUF