Elections 2010 BUNGENI: Upinzani upo ndani ya kambi ya upinzani?

Na wale tisa (9) ambao kura zao waliziharibu hao umewaweka wapi? kwamba ni popo hawajulikani wako upande upi?
 
Hakuna kukaa.nasema mawazo haya ni potofu.cuf wana ndoa na ccm,nccr kadhalika,tlp ndo usiseme.udp mnajua.chadema nenda mwenyewe.jenga upinzani hadi kieleweke.nafurahi wapinzani feki wameonekana mapema.chadema mwendo mdundo.
Wewe umesema. Nitfute baadaye nikupe pipi.
 

Si sahihi kuiweka CUF katika kambi ya upinzani kwa kuwa wameishafunga ndoa na CCM kule zenji ktk serikali ya mseto, that means CUF ni ndugu zaidi na CCM kuliko vyama vingine, na kwakuwa CUF ndo walioolewa hawatakuwa tayari kwenda kinyume na matakwa ya bwana wao CCM. Navionea huruma vyama vingine vilivyoingia ktk mkumbo wa CUF vitaishia kuonekana kama ni mamluki wa CCM na vikajifia kifo cha mande. NCCR ina wabunge vijana makini sana, haikutakiwa kuwapeleka vijana wale ambao wanatakiwa kukijenga chama chao kumezwa na CUF ambayo miaka yote msimamo wake hautabiriki na imeundwa na wabunge wengi wanaotetea maslahi ya Pemba ambayo hayatawavutia wapigakura wa huku bara hapo 2015.
 
Lengo ni kufanya kazi uliyotumwa na watu wako nasi kukaa unawalazimisha chadema waungane nawewe, au subiri mpaka wakati wa uchaguzi.
 
Mhhhhh!!!!! NILIJUA TU UROHO UROHO , UROHO WA MADARAKA. HII INAONYESHA HATA MKIIONDOA CCM MAFISISADI MTAKUWA WENYEWE!!!! AIBU GANI HII JAMANI?!!!!!!
 
Source!? Ondoa spin zako hapa we mjinga. Nenda kule ccm ukawambie ujinga wako huu.
 
Wengine wanashibisha matumbo yao hawana faida yoyote kwenye upinzani.
 
mh kwa mbinu za sisem watahakikisha wanaisambalatisha chadema vibaya mno. sasa nijukumu ya wabunge wa chadema na wanachama kuwa na msimamo sana kutokudanganyika!
 

Mkuu umesema ukweli kabisa. Thanks.
 


Hii ni muhimu na ya haraka sana....
 
agreed,but it should be strategic sio kukurupuka tu
 
Kaka Chadema magugu mengi, na magugu huwa yakiota mimea mizuri inakuwa hatarini. Zitto, wenje, .........
 
Ni kweli maneno yako maana ndio maana hawakuwashirikisha wenzao kuunda kambi ya upinzani bungeni kwa kujiona wao ndio wapinzani peke yao, hawakuwashirikisha kwa kuwapa japo umakamu.
 
ukweli ni kwamba Marando hakuwa ktk nafas ya kushinda hata kama cuf wote wangempigia kura lkn leo nimeamini kuwa cuf ni ccm na chadema wanalijua hilo ndo maaana sometimes wanakua na msimamo wao binafsi hawataki unafiki. chama cha upinzan pekee ni chadema.
 
kwani keshakula ile kitu .......naitwa KIAPOOOOOO.....!
 

kama hiyo avatar ni picha yako basi mtu mzima ovyooo,
what is your source au umetoka kulala saivi?
 
Tukipata serikali 3 kiburi cha cuf kitakoma kwani watakuwa na mbunge mmoja au wawili au hakuna kabisa. Wabunge wa CUF znz ndio wanaoitoa cuf tanzania bara. Sasa cuf wamefunga ndoa ya mkeka Znz halafu wanataka tena na Bara kufunga ndoa na wapinzani, huu ni umafia wa ccm ktk kuua upinzani. Bora kuishi bila kuoa (chadema) kuliko kuoa mke cuf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…