SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
hapo halipo ukimtazama kiafya Hana miaka miwili mbeleHivi hakuna wataalam wa kuweza kumpiga kiharusi huyu dhalim wa kitaleban?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Alaaniwe Zungu na kizazi chake choteNaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi ya data.
ITV
Ewe mtukuka israili mtoa roho muone huyu kiumbe ameshakomaa kwa ajili ya kuvunwa.hapo halipo ukimtaza kiafya Hana miaka miwili mbele
Comment bora sana hii. Asante mkuuMs3ng3 sana huyu mtu kwanini wasiwaze kukatwa kodi wao na maposho yao.
Hapo kwenye nasikia ana kisugar watu washamchoka huko ilala.Hivi hakuna wataalam wa kuweza kumpiga kiharusi huyu dhalim wa kitaleban?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi ya data.
ITV
Kibiblia au?Ile kauli kwa Nape Ina tafsiri nyingi sana "Nape wewe ndo mwokozi wa nchi hii....Mwenye namba ya zungu