Bungeni: Zungu ashauri ukusanyaji wa mapato kupitia Data

Safi sana!
.
Dikteta alishakufa!

Mungu fundi

Tunapumua

Sukuma gang inakomeshwa

Mama siyo dhalimu

Dikteta aliua sana watu

Weka tozo mama hadi za kupumua maana democrasia imetamalaki.
 
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi ya data.

ITV
Alaaniwe Zungu na kizazi chake chote
 
Ile kauli kwa Nape Ina tafsiri nyingi sana "Nape wewe ndo mwokozi wa nchi hii....Mwenye namba ya zungu

Back
Top Bottom